Wapagani wa kale waliabudu Utatu Mtakatifu

..atleast the Bible is the Only book ambayo haijicontradict Unlike vingi,alafu the Bible was not written by Jews ni manabii wengine wakavikusanya pamoja
Numbers 23:19
God is not a man, so he does not lie. He is not human, so he does not change his mind. Does He speak and then not act? Does He promise and not fulfill?”

Genesis 6:6‭-‬8
And it repented the Lord that he had made man on the earth, and it grieved him at his heart. And the Lord said, I will destroy man whom I have created from the face of the earth; both man, and beast, and the creeping thing, and the fowls of the air; for it repenteth me that I have made them. But Noah found grace in the eyes of the Lord.

biblia inasema baada ya nuhu kupata neema machoni pa bwana, mungu akabadili mawazo na hakuiangamiza dunia.

mungu anasema habadili mawazo, wakati aya nyingine zinaonesha jinsi alivyobadili mawazo.

hio ni mojawapo ya contradiction.
 
..Kwanza ujue kwamba Judaism sio upagani as u say it sema they Beleive in salvation by physical efforts lakini tunajua huwez kuepuka dhambi and Yes Origin ya Biblia ni Hebrew Bible

Najua. Kuwa Judaism sio upagani na sijasema ni upagani na siwezi kuongea that. Na kwa Judaism wao wanaona Christianity ni Upagani.
 
Haya mambo yaachwe hivi hivi tu, maana ukisema ati wewe ndo unamwabudu Mungu wa kweli kuliko mwenzako basi nakwambia hata kwenye dini yako pia kuna watu wengine wana wasi wasi na mungu wako unayemuabudu pia...

Ni bora kila mtu asimame na anapopaamini!!
Word....
 
GENESIS 1
In the beginning God created the heavens and the earth. 2 Now the earth was formless and empty, darkness was over the surface of the deep, and the Spirit of God was hovering over the waters.

3 And God said, “Let there be light,” and there was light.
Father anaongea hapo,Spirit unaona Alipokua na anachokisema ni Neno(the word) ambae ndo Jesus according to
JOHN 1
In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God. 2 He was with God in the beginning. 3 Through him all things were made; without him nothing was made that has been made. 4 In him was life, and that life was the light of all mankind. 5 The light shines in the darkness, and the darkness has not overcome[a] it.
ukiangalia vizuri utaona inaitwa Roho ya Mungu, pia Yesu Mwana wa Mungu. lakini hakuna baba wa Mungu kwasababu baba ndiye Mungu ana Roho na yesu ni Mwana wake. pia huyu baba mara amekuwa akiwiwatuma hawa wawili.
 
82635ae637fa16ef24dd65e3ac0f7333.jpg


727253d5058980a2ea5510d5c3bc42b4.jpg


Bado na Huu mtasema sio upagani.

b74140640b9e2f3e647ec280e12cb9a4.jpg


fb737ece078d537708b75457de7ccad5.jpg


059baf3e84926bb259ee62b1d6cfe295.jpg


9b9ed6311754e97349e0856455461089.jpg


8322bdc2824210346a240ee4a3064e01.jpg


73cd58ffb08eadf6356efc36319730c5.jpg


9a3673eecba4a506c584f8fff49cd843.jpg


4541d6ef76dc7fd6b64147f9a8de797b.jpg


df3cf1de296c4b4afe1dd0549274e7af.jpg
Huu ni ushahidi tosha kwamba wakristo wanaabudu roho za MAJINI,MASHETANI NA MAPEPO.
Hivi mungu gani anaombwa kwakutumia mafuvu ya wafu? MAHABA NIUE AT WORK
Ndugu zetu mmeingia chaka baya sana na kutoka hamuwezi
 
HUWEZI kuelewa utatu mtakatifu mpaka ROHO WA BWANA akushukie.....Usiulize masanamu tunayoyasujudia, ni njia tu ya kufikisha maombi kupitia kwa BIKIRA, Then Mtoto, Then BABA.

YESU ANGEKUWEPO, KAZI YA KWANZA INGEKUA KUVUNJA MASANAMU YOTE YALIYOPO MAKANISANI KAMA ALIVYOFANYAGA ZAMANI HEKALUNI.
;););)
Hivlile saam ni lannani? Hivi siiyule jamaa muigzaji?
 
Najua. Kuwa Judaism sio upagani na sijasema ni upagani na siwezi kuongea that. Na kwa Judaism wao wanaona Christianity ni Upagani.
ukiichunguza judaism nayo ina upagani wa hatari,hata kitabu chao cha Talmud
 
God has a body, kusema he doesnt have a body kisa ana uwezo wa kuchenj form unakua unakosea. mchawi mwili anao na ana uwezo wa kuchenj form pia na kuwa paka, mjusi, ndege au mbwa. To say that god is spirit is to say that god is invisible. but god has a spirit which dwells in his body.

ushahidi kwamba mungu ana umbile:
MWANZO 6:3
BWANA akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama;

mungu anaposema mwanadamu naye ni nyama, anamaanisha na yeye mungu anazo nyama / mwili / umbile.

MWANZO. 1:26‭
Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu.

ni kwa maneno yake mungu sio maneno yangu, anatamka kwamba anayo sura.

MWANZO 1:27
Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.

kusema mungu ni roho haimaanishi hana kiwiliwili, watu huwa wanasema hivyo kutokana na ile sifa yake ya kutoonekana.

kama nimekosea nirekebishe tafadhali, karibu.
Mungu ni mwana ume au mwanamke mfano wake ninani katti ya me na ke
 
kwanini watu wameendeleza hii ibada ya kipagani?

441px-Egypte_louvre_066.jpg


Brahmma, vishnu na Siva wahindi.
s9amrj.jpg


triadhs2.jpg
Kwa nature ya mwanadamu ana uungu/utukufu wa Mungu ndani mwake, aliubwa nao hivyo wewe kufanana na baba yako au kutenda kama baba yako siyo shida!

Ila shida utakuja ukitaka madaraka ya baba yako ikiwa ni pamoja kumtaka mama yako awe mkeo au dada kudai babaye awe mumewe hapo ipo shida kubwa.

Kwa mifano kidogo sikutaka kukujibu kwa kuhusisha misaafu km biblia, koran na mingine ila tambua Mungu watu wote ni wake ata wasio na dini. Ila inampendeza akiona wanachukua muda kujifunza na kumjua.
 
huwezi jumlisha vitu visivyofanana. ni sawa kusema meli+andazi+shati
Mkuu hapo siyo kweli maana utapata 3units labda utakosa jina la hiyo jumla nikimaanisha SI Unit. Lakini kiniambia huwezi jumlisha vitu visivyofanana napata wasiwasi kwamba kwako hesabu ndio tatizo
 
kwanini watu wameendeleza hii ibada ya kipagani?

441px-Egypte_louvre_066.jpg


Brahmma, vishnu na Siva wahindi.
s9amrj.jpg


triadhs2.jpg
Kitu kingine watu wanao hoji uwepo wa Mungu uelewa wao ni mdogo sana! Hawezi kujenga hoja fikirishi mara nyingi huwa wanajenga hoja bishani tu. Mfano kama ungefikiria kidogo au ukatoa mfano ambao unainesha binadamu(wapagani) kuwepo kabla ya Mungu basi tungesema Mungu aliiga kwa binadamu but what if hao wapagani ndiyo waliiga kwa Mungu na ndivyo ilivyo na kwa kufanya hivyo hasira ya Mungu iliwaka juu yao kawatafute leo km wapo.

Mtu mjinga tu ndiye anaweza kujenga hoja dhaifu kuhoji uwepo wa Mungu.
 
Kwani ukisikia miaka 2000 kabla ya kristo. Unafikiri yesu hakuwepo? Hakuwa amekuja duniani ila tuliahidiwa kuwa atmamtuma mwanae ambaye jina lake ndio hatukulijua. Ila utatu mtakatifu ulikuwepo kwa hiyo wapangani ndio walioiga utatu huo
ukicheki hapo juu utaona Wamisri waliamini utatu miaka 2,000 kabla ya Yesu. kwahiyo wakristo ndiyo walichukua hili fundisho toka kwa wapagani.
Kwani ukisikia miaka 2000 kabla ya kristo. Unafikiri yesu hakuwepo? Hakuwa amekuja duniani ila tuliahidiwa kuwa atmamtuma mwanae ambaye jina lake ndio hatukulijua. Ila utatu mtakatifu ulikuwepo kwa hiyo wapangani ndio walioiga utatu huo
 
Kitu kingine watu wanao hoji uwepo wa Mungu uelewa wao ni mdogo sana! Hawezi kujenga hoja fikirishi mara nyingi huwa wanajenga hoja bishani tu. Mfano kama ungefikiria kidogo au ukatoa mfano ambao unainesha binadamu(wapagani) kuwepo kabla ya Mungu basi tungesema Mungu aliiga kwa binadamu but what if hao wapagani ndiyo waliiga kwa Mungu na ndivyo ilivyo na kwa kufanya hivyo hasira ya Mungu iliwaka juu yao kawatafute leo km wapo.

Mtu mjinga tu ndiye anaweza kujenga hoja dhaifu kuhoji uwepo wa Mungu.
mi ni mkristo na naamini uwepo wa Mungu.
 
Huu ni ushahidi tosha kwamba wakristo wanaabudu roho za MAJINI,MASHETANI NA MAPEPO.
Hivi mungu gani anaombwa kwakutumia mafuvu ya wafu? MAHABA NIUE AT WORK
Ndugu zetu mmeingia chaka baya sana na kutoka hamuwezi

Halafu bado waliwachoma moto wachawi kipindi cha Medieval Barani Europe.

Sasa wana tofauti gani na uchawi? Maana mpaka waamini ili ulimwengu upone ilihitajika kafara ya Mtoto wa Mungu auawe. Damu yake na mwili wake kila jumapili wanakula.

Its illogical, ni sawa na uchawi sema tu ni uchawi wa kisasa ambao kwa sababu ni mzungu basi atakuwa yupo sahihi. Uchawi wa suti na tai. Naamini haya Yesu kama anaona haya atakuwa anashangaa sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom