wap ya tiGO vipi tena?

Mdau

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,789
470
jamani,karibu wiki sasa network ya internet ya tiGO haipatikani, kuna nini hapo? na mbona hatupati taarifa zozote?
 
jamani,karibu wiki sasa network ya internet ya tiGO haipatikani, kuna nini hapo? na mbona hatupati taarifa zozote?

Jamaa WatiGO sijui wanamatatizo gani maana net hakuna hakuna taarifa,
Yaani imekaa utadhani hao watendaji wanatumwa ili waaribu soko la tiGO maana mpaka sasa tiGO ndo mtandao unao ongoza Tanzania lakini hapo hapo unakuna watendaji wameuchuna jii.

Nadhani wakubwa watagundua tu! nini kinaendelea.
hii inasababisha watu wengine tuanze kurudi tena voda kwa ajili ya internet
 
Mbona mi napata au ndo inakuwaje? Labda mnipe shule
 
jamani,karibu wiki sasa network ya internet ya tiGO haipatikani, kuna nini hapo? na mbona hatupati taarifa zozote?
Mdau naomba unisaidie internet settings unazotumia. Mfano apn na ip address na gateway. Napata mtandao sina hata setting moja cjui inakuwaje au ndo mambo ya dhcp
 
Hivi waungwana tiGO inamatatizo gani mbona wap yao ni kimeo kana kwamba kuna mtu akitaka kutumia net anafungulia akimaliza kazi zake anawafungia shida nini?
 
Kwa muda sasa Wap ya tiGo imekuwa na matatizo sehemu na sehemu. Kuna Base Station nyingine huwa zinakuwa na matatizo ya wap na hivyo kusababisha eneo fulani kuwa na huduma ya wap na eneo jingine kutokuwa na huduma.

Kwa upande wangu, base station nayotumia hapa ofisini haina net, but ile ya nyumbani haina matatizo. Ila, leo hata hii ya ofisini ina service ya wap - but all in all mobile internet service ya tiGo is the worst of all.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom