Waoneni hawa walivyo jamani hata haya hawaoni kwa kweli

Shapecha

Member
Oct 21, 2010
45
1
100_0230.jpg
 

Attachments

  • 100_0230.jpg
    100_0230.jpg
    64.3 KB · Views: 315
Nyuso zilizojaa tabasamu na bashasha baada ya kutekeleza mauaji ya raia wasio na hatia, wasio na bunduki wala silaha zozote mikononi mwao.
 
Mwerevu husikitika, ila mpumbavu hutabasamu na kucheka.
Unawzaje kumwua ndugu uliye nae mtaani? kesho pakitulia utaficha wapi sura yako?
 
wametekeleza walichotumwa na mabwana zao tabasamu la kinafiki!!
 
huyu andengenye tunamjua toka moro.....he is dirty....anawekwa hapo na watu flani ambao ndo wanamwendesha kama remote control, mbaya zaidi amesoma, nakumbuka alikua anasoma pale mzumbe sheria, lakini sioni elimu alioipata kumsaidia....siku zako na bosi wako zinahesabika....tunajua kilichokupeleka arusha....
 
who the hell are these?? nakumbuka huyo wa kushoto alimcover mzee wa vijisent vizuri sana kwenye ile ajali oysterbay.
 
Hivi mauaji na seleka loote lile kosa lake ni " kukusanyika isivyo halali"? Jamani maisha ya watu yana thamani kuliko chochote kile..
Hivi ni kwasababu jamaa hawana ndugu aliyeuawa nini?
Yaani Tz huru watu wanauana kama wakati wa mkoloni,sasa uhuru una kazi gani si tuwaite wazungu watutawale tu!
 
NYUSO ZILIZOJAA TABASAMU NA BASHASHA BAADA YA KUTEKELEZA MAUAJI YA RAIA WASIO NA HATIA, WASIO NA BUNDUKI WALA SILAHA ZOZOTE MIKONONI MWAO.

Wameajiriwa na Wananchi na Wanalipwa Mishahara na Wananchi Ila Wanachukua Orders Bila Hata Kuuliza ni Haki ya Binadamu?. Wamechanganyikiwa na Sijui Kwanini Taifa Limekuwa na Watu Serikali Vichwa Ngumu Kama Nini. Unatoa Ruhusa Kupiga Risasi kwa Wananchi Bila Kufikiria Hawana Silaha Yeyote. Katiba Mpya Ndio Kiboko Yao, Hakuna Makosa Kama Haya ya Kijinga na Watajua Wakifanya Hivi ni Jela Maisha. JK Anawadanganya na Nyie Mjue Mnafanya Kazi Kuwalinda Wananchi Sio Opposite, Jk Mwenyewe Hajua Ofisi ya Raisi Haitumuki Kuwaua Wananchi Ingawa Ndicho Anafanya Kila Siku Kutuibia na Matumizi ya Siri. Muda Umeshafika na Nyie Hapo Juu Muuanze Kubadilika Kabla Katiba Haijafika Miguuni Mwenu.
 
Raia walio fariki wameponzwa na uongozi wa chadema, ambao una shadidia fujo na uvunjifu wa amani.
 
Raia walio fariki wameponzwa na uongozi wa chadema, ambao una shadidia fujo na uvunjifu wa amani.

Kufariki kwao si kwa 'kuponzwa' kufariki kwao ni kutokana na wao kutetea walichokiamini, wanaamini katika viongozi wao
Uvunjifu wa amani unafanywa na mapolisi, nashindwa kuelewa watu wanatuma vikosi kadha wa kadha kutuliza watu wenye amani, wanatuacha sisi raia esp tunaoishi maeneo ya mbezi risasi zinarindima kila kukicha!
I wonder what r their priorities really ?
 
Back
Top Bottom