Wanzibar tupunguze kulalamika juu ya utoaji wa maoni ya katiba

jamesbond007

Member
Jun 27, 2012
36
8
kwakuwa ccm inawatumia wanavijiji kuwasilisha matakwa yao kwa kuwapa barua zenye kupendekeza serikali mbili wa muundo wa muungano, basi na sisi tusiotaka muungano au wanaotaka muungano wa mkataba basi na wao weaandae barua kwa mujibu wa maoni yao halafu waziwasilishe kwenye tume kama wanavyofanya ccm! kama wao wametuma 100 cc tutume zaidi ya 1000 kila kikao, sasa tuone nani makali na sio kulalamika, hakuna ataewasikiliza wakati huu
 
Ni kweli Mr. Mkataba, utoaji wa maoni ni kiini macho, watu tayari weshaamuwa nini cha kufanya cc tunazugwa tu na dunia inapigwa changa la macho, cc tunalikuwa hilo ila tunakwenda tu ili kutowapa nafasi ya kujilabu sana juu ya muundo ya unafiki wao wanautaka! cc wanzibar message yetu ni rahisi na fupi sana kuwa "Tuachiwe Tupumuwe"!
 
Back
Top Bottom