Muhamadans huwa nawaona kama ni vichaa fulani!
Na hiyo serikali ni ya watu gani? Ilichaguliwa na nani? Na hizo fedha zitaenda kuwasaidia watu gani? ha! ha! ha! It is a contradiction!!! :mvutaji:Siyo wazanzibar waliopokea ni serikali
Wazanzibar hawana muda na TBL kwa imani zao..
The heading is misleading
Siyo wazanzibar waliopokea ni serikali
Wazanzibar hawana muda na TBL kwa imani zao..
The heading is misleading
QUOTE]]Ni kweli kuna shida kwenye heading.Kwa kadri ninavyofahamu serikali ya Z'bar haina shida na uuzaji wa pombe, hata leo ukienda kuomba leseni ya kuuza pombe watakupa. Tatizo lipo kwa baadhi ya wananchi. Japokua serikali inaundwa na wananchi, lakini kwenye issue ya Pombe wanatofautiana.Nilitegemea hao wananchi wanaopinga pombe wajitokeze kuikemea serikali kwa kupokea msaada kutoka TBL. Lakini kwa hali ya sasa hawawezi kwani karibia kila familia inamsiba kule. Labda majonzi yakishapungua watajitokeza.[/