Wanzazibar wanateseka mgao wa umeme watoto wanafeli shule kwa sababu ya kukaa gizani

tpmazembe

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
2,469
581
Hivi pamoja na kuwa na serikali ya kitaifa,CUF wako serikalini lakini watu bado wanateseka mgao wa umeme kila siku hawa CUF wamuogope Mungu,wanawatesa wazanzibar kwa visiasa uchwara vya kipindi cha uchaguzi
 
kweli huu ni msiba,wazanzibar wanaishi maisha ya mateso tu,viongozi hawaoni aibu
 
Poleni. Wamefeli mitihani ipi?

Lakini kufeli kwa mitihani kunasabu nyingi sana zaidi ya umeme! Vijijini huko wanafauli bila umeme.
 
Matatizo kama hayo kina Jusa hawawezi kuyazungumzia kwa kuwa yanamanufaa kwa wananchi.Wao wanaweza kuzungumzia na kuleta chokochoko za muungano ili nchi igawanywe wapate madaraka.
 
Zanzibar ni laana ya umimi inawatesa na hawana haja na kusoma wanasogoa na kukomaa pasipo sababu .Waache wakae hivyo kwanza kwa asili wale si wasomaji ni watu wa kukunja miguu na kuishia madrasa .
 
si ndo maana tunawaambia mjitenge? kwani lazima muungane nasi (watanganyika)? jitengeni na tafuteni vyenu na si kulalamika.
 
Zanzibar ni laana ya umimi inawatesa na hawana haja na kusoma wanasogoa na kukomaa pasipo sababu .Waache wakae hivyo kwanza kwa asili wale si wasomaji ni watu wa kukunja miguu na kuishia madrasa .
pumba.
 
Back
Top Bottom