Wanzanzibari Asili wakiongelea hali ya siasa Zanzibar

Wazanzibar asili ndio wepi? Zanzibar ni kisiwa kilichokuwa ukiwa, wote ni wageni toka pande mbalimbali za ulimwengu
 
Wazanzibar asili ndio wepi? Zanzibar ni kisiwa kilichokuwa ukiwa, wote ni wageni toka pande mbalimbali za ulimwengu
asili kwa maana kizazi chao hakikutoka mbali yaani wana damu ya Bara mile 20 toka Zanzibar na si wale wa Oman mile 2459 toka Zanzibar. waskiize Mh. Ummie Mahfoudha Alley Hamid na Mmewe Mh Judge Mkuu wa Zanzibar wanatoa dondoo kuhusu fitna nachokochoko za "JuneJulys"
 
Wazanzibar asili ndio wepi? Zanzibar ni kisiwa kilichokuwa ukiwa, wote ni wageni toka pande mbalimbali za ulimwengu
wewe ni sawa muingereza aliye chukua australia na kupeleka wafungwa huko na kudharau haki za wazawa aborigiens
 
Sikiliza verse ya pili ya wimbo wa Bob Marley Redemption song

hapa nakusaidia kidogo tu.

Emancipate yourselves from mental slavery
None but ourselves can free our minds
Have no fear for atomic energy
'Cause none of them can stop the time
How long shall they kill our prophets
While we stand aside and look? Ooh
Some say it's just a part of it
We've got to fullfil the book
wewe ni sawa muingereza aliye chukua australia na kupeleka wafungwa huko na kudharau haki za wazawa aborigiens
 
mi wa bara lakini kama alivyo sema jaji mkuu nami nilipata fursa ya kuishi na hao wagoa na wahindi na kutuheshimu sisi weusi tusio kuwa na kitu, kwa huku bara waarabu hawakuwa na nafasi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom