[h=6]Kanisa Katoliki limeandaa mpango wa kukomesha uvaaji mbovu unaokwenda kinyume na maadili ikiwamo kuvaa vimini, nguo za kunyanyua matiti na milegezo kanisani baada ya kutangaza kuwavisha vazi la kaniki watakaovaa hivyo.Kanisa kuwabana wavaa nguo fupi "vimini", waanika matiti nje
www.wavuti.com[/h]
www.wavuti.com[/h]