Wanyama 130 wakiwemo twiga watoroshwa KIA kwenda Qatar

Waziri wa maliasili na utalii yupo? Hapa kuna ulazimu wa maige pia kuhusishwa kwani alikuwa waziri wa wizara hiyo
 
By Florian Kaijage

17th June 2012

Govt team to leave soon for Doha

The Qatari military plane used to smuggle live animals in 2010 on the tarmac at the Kilimanjaro International Airport (KIA).

The government’s search for the whereabouts of 116 live wild animals and 16 birds alleged to have been smuggled out of the country in November 2010 is gaining momentum as a team of government officials is set to visit Qatar, in the United Arab Emirates, for the purpose...

Hii habari ni factually incorrect! Qatar na united emirates ni nchi mbili tofauti...
 
Utamu kolea!

TUME imetumwa kwenda kuthibitisha au kuchunguza?

This country needs someone like Kagame. Kwanini tusimwombe Kagame aje atuongoze?
 
Mwisho wa abrakadabra hii, tutaambiwa ndege ilikuwa on transit, yani ilikuja na wanyama wale huko ilikotoka ikielekea Doha.
 
chama cha mapinduzi.
viongozi wake ni hawa.
mwenyekiti jakaya mrisho kikwete.
katibu mkuu wilson mukama.
mwenezi nape moses nnauye.
uchumi na fedha mwigulu nchemba.
...............
................
...............
 
hahahaaaaa wanyama wetu warudi mwaya na zawadi kidogo za huko Qatar
 
Hiyo ndiyo nchi ya Watanzania.Kwa hili Watanzania kwa ujumla wetu tunaonekana mbele ya jumuia ya kimataifa ni mbumbu tusiojitambua.Ni hatari sana kuwa na raslimali kama za Tanzania halafu ukawa na utambuzi finyu kama inavyojidhihirisha katika suala hili.
 
chama cha mapinduzi.
viongozi wake ni hawa.
mwenyekiti jakaya mrisho kikwete.
katibu mkuu wilson mukama.
mwenezi nape moses nnauye.
uchumi na fedha mwigulu nchemba.
...............
................
...............

Huyu jamaa baada ya Waziri wa Fedha kuwasilisha bajeti yake, akahojiwa na vyombo vya habari ili kupata maoni yake. Kwa mshangao wangu akaisifia sana bajeti kuwa itainua uchumia wa mtu wa chini. Kwamba imewakumbuka watu wanaoishi vijijini na ni bajeti ya kuleta maendeleo. Kisha yule binti mbunge wa viti maalum nadhani ni Ester Bulaya naye akaisifia sana bajeti. Nilijiuliza maswali mengi, lakini mwisho nikajiuliza je ni lazima kutoa maoni hata kama kitu hukijui ? Tunatatizo la uwezo wa kuelewa na kupambanua mambo. Kutazama mambo kwa jicho la tatu bila ushabiki. Lakini mbaya zaidi hawa ni vijana. Kama taifa litakuwa na vijana wa jinsi hii, basi tuhesabu maumivu kwenye uwakilishi wa kimataifa, maana hawataweza kukaa na kupambanua mambo kiundani na mwisho wa siku tunaweza kumsifia Chief Mangungo wa Msovelo kuwa walau alijitahidi kulinganisha na hao.
 
nachotaka kujua ni nani alitoa kibali hao wanyama kutolewa nje ya nchi hii. Rais, Usalama wa Taifa, Polisi, Jeshi nina uhakika kuna chain kubwa sana ya watu waliokula hela hapo. Nchi kama tanzania inafahamika kwenye sekta ya utalii..sasa kama wanyama ambao ndio wanatuletea utalii huko Arusha wanauzwa nchi zingine sekta yetu ya utalii si itakufa?? Viongozi wetu kuweni na hata kachembe ka huruma na nchi yenu
 
hahahaaaaa wanyama wetu warudi mwaya na zawadi kidogo za huko Qatar
wewe acha utani kwenye mambo ya msingi kama haya,kana unataka zawadi mtafute yule katibu mwenezi wa ccm akupe ya kwenda nayo shambani umesikia?
 
If yesterday was impossible then today I must find another means so that tomorrow must b possible for the new moon & sun rise for my beloved country Tanzania!
 
Back
Top Bottom