Wanyakyusa wanapeana michongo Facebook

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,832
Nimeona kuna groups za Wanyakyusa kwenye Facebook.

Huko wanapeana habari za nafasi za kazi na nafasi za scholarship nje ya nchi.

Hili kwa kweli ni jambo jema, natamani na sisi kabila letu lingekuwa na umoja hkama Wanyakyusa hakika tungekuwa mbali, maana kabila letu ndilo lenye watu wengi zaidi Tanzania.
 
Haahaaa! Afadhali hao wanaotumia muda kuangalia wapi wakuse wapate maendeleo. Mi kabila letu tunapiga hadithi tu halafu tunategemea mambo yatakuwa mazuri kwa miujiza.
 
Mie mnanihiii.....karibu tuungane Nazjaz najua kabila langu na lako yanashabihiana,
 
Wote wanaoendesha mambo kikabila tunapaswa kuwakemea kwa nguvu zote.
 
wakati tunachangia wanawake wa kinyakyusa nilisema wana 'ukabila'
lakini mkataka kuniparua,
sasa yamekuwa hayo tena.
 
Naona wameamua kujipanga baada ya majembe yao mawili makubwa (Dr na Prof) kuwa tabaani.

Anyway Waberoya atajaza nafasi ya Dr Mwakyembe ingawa naona pia misimamo yao haiendi sawa, na hawaelewani
 
mwakalindile
mwaikasu
mwambingu
mwakasege
mwamtobe
mwaipopo
mwasapila
mwaikusa

......

Mwakajumilo,
Mwabukusi,
Mwakalinga,
Mwaibabile
Mwakyembe
Mwandosya, mwalyosi, Mwakalindile,Mwakajumba, Mwampondele, Mwakalobo,Mwakyusa,Mwakasungura,Mwaihubi,Mwakipesile
 
Wote wanaoendesha mambo kikabila tunapaswa kuwakemea kwa nguvu zote.

mi mbondei, lakini niko kwenye group inaitwa Proud Nyakyusa, hamna cha ukabila wala nini. Na kujiunga na group hiyo hamna fomu ya kujaza wala hamna chochote, just click "like" tayari unakuwa memba.
 
Mwakajumilo,
Mwabukusi,
Mwakalinga,
Mwaibabile
Mwakyembe
Mwandosya, mwalyosi, Mwakalindile,Mwakajumba, Mwampondele, Mwakalobo,Mwakyusa,Mwakasungura,Mwaihubi,Mwakipesile

Mimi mbona Naitwa Nasra Mohamed na wala sio Mwamohamed, msipindishe ukweli
 
Sisi tunayo pia ya kwetu kama niwa Dom nenda The Classic Dodoma kuna mambo mengi tunaambiana hapo
 
Back
Top Bottom