Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 22,550
- 29,632
Jina hilo si la kinyaki. taja jingineNishakutana na
Rugarabamu ....mbona haiishi na a"
Jina hilo si la kinyaki. taja jingineNishakutana na
Rugarabamu ....mbona haiishi na a"
Gwalugano ni jina la kiume na Lugano ni la kike. Nashangaa siku hizi nimewakuta wanyaki wengi wa kiume wanaitwa lugano nadhani ni ubishoo wa kuliandika na kutamka.
Nadeclare insterest kuwa nawafahamu wanyaki kinoma kwani nina ndugu mnyaki. ingawa mie natokea hukooo kaskazi uwekeni
Mwakasakafyukamara nyingi majina ya ukoo yananzia na Mwa;
Mwankenja
Mwampondele
Mwakasyuka
Mwainyekule
Mwamlima
Mwakyusa
Mwasongwe
Mwakalebela
Mwakalindile
Mwamunyange
Mwaipopo
Mwakyusa
Mwakalobo
Mwakibibi
Nk:
Alaa, kweli msanii? maana kina Lugano wanaume ni wengi mno tena wengiune ni wazee!!
Ile nimepewa majina mengine, kama;
Anyimile
Amyandile
Atusubisye
Atunanangisye
Atuganile
Huyu alienipa haya anaitwa Anyosisye Mwakijambile! Sijui hili la pili kweli nilake???
Mbona GWALUGANO haiishii na "A"
Hahahah hili ni muungano wa maneno mawili ambayo yamefanywa kuwa jina moja. GWA-LUGANO.
Mwakasakafyuka
Jina ni Nomino ya jambo ama kitu chochote ambacho chaweza kuwa hai ama si hai (Living organism or non - living). Hata hivyo kila kabila linatumia herufi hizi ili mradi linaleta maana kwao kutambulisha kitu au mtu fulani, mfano unaposema research yako imebaini majina yanayoanza na herufi 'L yanaishia na O' kwa wanyakusa, hata makabila mengine mbona wanatumia herufi hizo kwa majina ya watu ama vitu? kulikoni wanyakyusa tu wanatajwa hapa? Mfano wasukuma wanalo jina '********' jina hili linaanza na herufi 'L na kuishia na O' likimaanisha 'Tigo', na mengine kama 'LUBOLO' hilo sijui maana yake lakini ni jina. Turudi mashariki ya mbali jirani na uchina, Ni Wajapan hawa...wao unaweza hata usitamke majina yao mbele ya mkwe wako maana laweza kuwa tusi kwetu nadhani hii ndo mada ya kujadili hasa badala ya Wanyakyusa, Mfano ninao rafiki Japanese wenye majina yafuatayo: KUMAMOTO YACHIRO, KANYAMAV KAYASHIKA, ****-UHARO YANAMOTO n.k...LABDA WANYAKYUSA IMEKUWA HOJA KWA SABABU YA NETWORK YAO NDANI NA NJE YA NCHI HUSUSAN MAREKANI KASKAZ ETC, ULI....Mimi ni Manyema kutoka Kigoma si Mnyakyusa My real name is KARUMANZIRA