Wanyakyusa na introduction!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Ugonile!..............Najua umenisahau.Naitwa Andendekisye Lupakisyo Mwamasika mpwa wake na Afundile Ambakise Mwakibete ni yule binamu yake na Asangalwisye Simalike Mwalusako wa IPINDA Baba yangu ni rafiki mkubwa wa mzee Hobokela Bukenja Mwakalindile nduguye Bikunyasya wa Bujonde pia nimesoma na Ambilikile Ngupasya Ifyaitolo mdogo wake na Nsajigwa Mwaipopo,shemeji yake na Tukupasya Mwaisendele wa kyela,ninafanya kazi Kyela na Gwamaka Mwaipaja shemeji yake na Tuntufye Lutengano Mwakapalila,je umenikumbuka?
 
Nimecheka hadi mbavu zinauma....yaani niliwahi shuhudia kwenye harusi jamaa wanatambulishana, dah, nusura niondoke!
 
dah! Kaka mbona hyo introduction nimesahau hapa yeye anaitwa nan duu! Hii ya ukwel
 
Tununu,na ugu ni gukaka kwangu,anaitwa atufigwege mwaipaya baba yao akina lusajo mwakabhuku. Anakaaga makambako jirani na mama simpyege dada yao akina mwabulambo.
 
duh! hii introduction nimecheka kupita kiasi..sasa na msikilizaji utavumilia kweli kusikiliza na kukumbuka yote hayo mbona kama ni kuchanganyana kwani majina yanafana fanana..... nimesoma nyingine ya WANGONI hiyo ndio imenimaliza mbavu. That why naipenda JF kuna wakati wa vituko kuna wakati wa majonzi hasira lakini pia tuna wakati wa kufurahi. Thanks mtoa mada.
 
Ha! Kumbe ni wewe!? Nimekukumbuka! Mbona watu waliniambia umehamia Ujerumani? Watu nao bwana!
 
Mwee sibhagile i nyali siku ume finyamana?
Mufwene ngati ingambili isya mwiloto.
Musokengepo apa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom