Wanyakyusa Mpo!

Nyange

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
3,516
1,865
Kijana kwa jina anaitwa Juma, mwenyeji wa pwani, alianza kufanya biashara ya mazao aina ya Viazi ili awe anasambaza kwa wauza chips wa maeneo ya Dar. Akafunga safari kwenda Mbea ambako vinastawi kwa wingi.

Akiwa Mbeya kwenye soko, wafanya biashara wenzake walikuwa wakitaja majina na kuandikiwa risiti, walikuwa wakita kama ifuatavyo:

Mwakaleli
Mwakajinga
Mwandosya
Mwakagoli
Mwaipya
Mwaituruka
Mwakanyamale....

Kijana Juma baada ya kuona hayo ikabidi naye a- shout Mwajuma ili naye apate huduma, make aliona akitaja Juma, wala hasikiki!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom