Wanunuzi wa Kuni na Mirunda

ROKY

Senior Member
May 4, 2011
182
70
Hi wana JF wote, Natafuta wanunuzi kuni za jumla na mirunda.
Nina mashamba mapya nayasafisha, hivyo kuna miti mingi sana kwa ajili ya kuni na mirunda.
Eneo yalipo mashamba hayo ni mkoa wa Pwani, umbali wa kilometa 100 toka DSM.
Bei ya kuni na mirunda ni maelewano tu na wanunuzi.
Wana JF naomba mnipe contacts za wanunuzi watakaonunua kuni na mirunda hiyo kwa jumla.

Mawasiliano yangu ni:-
Voda 0754-310981
Airtel 0789-310981
Tigo 0658-310981

Thanks in advance.
 
Back
Top Bottom