Wantuchanganya hawa jamaa wa bodi ya mikopo

aseenga

Senior Member
Jul 13, 2011
106
86
WADAU NI HIVI, sisi ambao tulipata vyuo mwaka jan tukaambiwa tuende vyuoni tutapatiwa mkopo huko ni jambo la kusikitisha kwamba tulidanganywa lakini bado kama haitoshi jamaa wakatuchukulia tena elfu tano zetu za kuapeal pasipo majibu yoyote. sasa hawa jamaa wanazidi kutuchanganya mwaka huu wanataka tulipe tena elfu 30000 kama vile ndo tunapply mara ya kwanza, halafu walivyo wajanja kwenye brochure zao wameandika kwamba tunatakiwa tuaplly bure. bado nina mengi ya kusema lakini leo inaTOSHA
 
Asa usaidiweje?

ebu kuwa kama binadamu mwenye utu,maana nimeona michango yako mingi ni ya kuvunja moyo na isiyo na msaada,kama jambo huna uwezo wa kuchangia ni bora ukakaa kimya utaonekana una busara,kuliko kuwa unawajibu wenzako pumba tu badala ya kuwapa mawazo ya kuwajenga.Hivi we hapo ulipo umefanikiwa kwa kila kitu?avatar na jina lako haviendani na majibu unayowapa wenzako,kwani we katika kila jambo umefanikiwa?acha mawazo mgando
 
naona akili yako inahitaji kuwekwa jik,apo nimemjbu nin kibaya huyo dogo?
 
naona akili yako inahitaji kuwekwa jik,apo nimemjbu nin kibaya huyo dogo?

mkuu akili yako sijuiu ikoje. mwenzako ana matatizo na anaamini anaweza kupata ushauri wa kumsaidia lakini majibu yako ni ya kumkatisha tamaa na post zako ni za kukatiza tamaa tu-grow up
 
yaani cdhani kama hawa body wana nia ya dhati kabisa ya kuwapa mkopo.inavyoonekana hapo wanataka takula tena hzo 30000 zenu.subiri watakapoanza kusema budget ilikua ndogo.nchi hovyo sana hii.pole sn mkuu
 
sana sana watakachosisitiza eti usome tena vigezo vyao vya uombaji mikopo lakini ulipie tena 30,000/=!!!!.

wananiacha hoi jamaa hawa kufunga shughuli za usajili siku za jumamosi na jumapili na siku za kazi kufunga usajili saa 12 jioni!!!- hivyo maana ya online registration ni nini. pili hii mpesa ina tabia ya kujam - kwa nini wasitumie vocha kama wenzao wa tcu
 
Back
Top Bottom