Wanted hp deskjet 3920 printer cd

Mzee Mukaruka

JF-Expert Member
Jun 18, 2012
712
390
Wadau hebu nisaidieni, nina Printer yangu aina ya HP DESKJET 3920. Kwa bahati mbaya nimepoteza CD yake hivyo siwezi kuiunganisha na Laptop yangu. Naomba mwenye CD aina hiyo aniuzie au aniazime nii-syncronize na Laptop yangu niendelee na kazi zangu. I love this Colorful HP Deskjet 3920 Printer. Saidieni wadau!
 
mkuu usisumbuke ingia hapo chini chagua windows unayo tumia download na install tatizo litakuwa limekwisha

HP Deskjet 3920 Printer*-* Download drivers and software - HP Business Support Center
 
Back
Top Bottom