Wanna know real speed anayokupa ISP wako?

Paul S.S

JF-Expert Member
Aug 27, 2009
6,402
3,242
Wadau katika pitia pitia yangu ya google kutaka kujua speed halisi anayotoa ISP wangu nimekutana na hii site Speedtest.net - The Global Broadband Speed Test click the link then click BEGIN TEST YOUR PREFERRED SERVER then just wait and let the test take place before results.
im little bit surprised to know speed ninayopewa ina range kati ya 0.15 to 0.18mbps kwa downloading badala ya ile ya matangazo 3.1mbps
Naomba mawazo yenu
 
kaka biashara matangazo...!!!
 
Paulss provider wanatudanganya watu kuna sikku nimewai kusema wanawadangayawatu kuwa wanatoa huduma ya data(internet) ya 3G Kiukweli ukingalia Dowload/upload bado tuko kwenye 2G. Bila watu kuelewa haya maneno tutazdi kuibiwa kuna wengine wameshanza kudanganywa mambo ya 4G wakati hata ulaya bado.
 
Airtel inajitahidi hadi kufikia 1.2mbps wakati iasomeka 3.6mbps
 
kaka biashara matangazo...!!!
Nimekubali kaka

Paulss provider wanatudanganya watu kuna sikku nimewai kusema wanawadangayawatu kuwa wanatoa huduma ya data(internet) ya 3G Kiukweli ukingalia Dowload/upload bado tuko kwenye 2G. Bila watu kuelewa haya maneno tutazdi kuibiwa kuna wengine wameshanza kudanganywa mambo ya 4G wakati hata ulaya bado.
Mkuu kweli hapa tunauziwa majina tu na si halisia na kwa mwendo huu hiyo 4G bado hadithi huku kwetu
LAKINI JAMANI HUO MKONGA TULIOAMBIWA UTALAINISHA HUDUMA HII SI UMEANZA KAZI? NA MBONA HALI BADO TETE TUNAUZIANA MAJINA YA HUDUMA BADALA YA HUDUMA YENYEWE
 
Wadau katika pitia pitia yangu ya google kutaka kujua speed halisi anayotoa ISP wangu nimekutana na hii site Speedtest.net - The Global Broadband Speed Test click the link then click BEGIN TEST YOUR PREFERRED SERVER then just wait and let the test take place before results.
im little bit surprised to know speed ninayopewa ina range kati ya 0.15 to 0.18mbps kwa downloading badala ya ile ya matangazo 3.1mbps
Naomba mawazo yenu

Mkubwa uko juu!, ila du unaishi dunia ya tisa au ya kumi? mbona mm yangu inasomeka 46.17 Mbps!
 
nadhani hata walio korea ambao ni nchi yenye intenet ya kasi hawana speed hiyo ya 46.17

0.18mbp ni sawa 180 kbps(kadirio kwa kuzidisha mara 1000). Sio mbaya sana kwa net ya kwaida ila kw kasi hiyo ya 180 kbps ukitaka kudowload movie ya ya 700 Mb itakuchukua muda gani ????? Ni kama 1 hr :45 min kwa mujibu wa http://www.numion.com/calculators/time.html
 
Mkubwa uko juu!, ila du unaishi dunia ya tisa au ya kumi? mbona mm yangu inasomeka 46.17 Mbps!

mkuu nafikiri umeteleza kidogo sio 46.17 Mbps ya kwako itakuwa 46.17Kbps!!

huu ni utapeli, you can fool some people sometime, but you cant fool all the people all the time.

sio utapeli mkuu, huwa wanamaanisha kuwa hiyo moderm in uwezo wa 3.6Mbps (yaani ni pipe lenye uwezo wa kupitisha hiyo 3.6Mbps kama itakuwa available)

ni sawa na network card za laptop nyingi kwa sasa unakuta ni 1Gbps/100Mbs but hata kama itakuonyesha hivyo itategemea connection uliyonayo, kama kweli ni 1Gbps itaconnect kwa speed hiyo....
 
Kuna bandwidth na throughput. Hakuna ISP anayeweza ku-guarantee throughput maana inabadilika kulingana na wakati, watumiaji na hata kompyuta zinazotumika (slow vs fast). Mfano UTP cable ktk LAN ziko labeled (mfano) 100Mbps, hii ni bandwidth. Kiuhalisia, huwa haifiki 100Mbps, inakuwa around 50-60 Mbps, hii ndio hasa mtumiaji anai-feel. Katika biashara wengi wanakutajia bandwidth (maximum data transfer 'speed' on a given medium).
 
im little bit surprised to know speed ninayopewa ina range kati ya 0.15 to 0.18mbps kwa downloading badala ya ile ya matangazo 3.1mbps

kaka biashara matangazo...!!!

Kumbuka hizo zote ni shared pipe sio dedicated....huwezi kupata full 3.6mbps wakati mko kibao...labda iwe saa 6usiku ukiwa pekeyako au wachache sana
 
Back
Top Bottom