wangeanza hawa taifa lingekuwaje?

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,681
1,698
Napenda kumuunga mikono miwili M. M. Mwanakijiji katika makala yake hapo juu kwenye gazeti la MwanaHALISI la june 22-23, 2011.
Ukweli Baba wa taifa marehemu JULIUS K. NYERERE hana mfano kwa ubinadamu na upendo aliokuwa nao kwa watu. Aliacha misingi imara ya inchi yetu kujitegemea kwa kila hali na hasa hasa kumjali mnyonge.
EWE MOLA MLAZE MAHALA PEMA PEPONI.
AMINA.
 
wewe unaunga mkono ujinga....

huwezi sema angeanza mwinyi,au mkapa....

wakati hao watu wote ni product ya nyerere.....

wasingeongoza nchi bila mkono wa nyerere..

nyerere ndie baba wa taifa,hao ni kama wanae tu......

hakuna anaejua for sure kama asingekuwepo nyerere nchi ingeendaje?????

mfano huwezi sema eti program ipi ya window ni bora zaidi
kati ya window 98,window xp na window seven....

wakati kumbe sio lazima kutumia window

unaweza kuwa na option nyingine mfano apple......

so nyerere ni kama window,na hao mwinyi na mkapa na kikwete ni kama tu window 98,window xp na window seven....
 
Back
Top Bottom