Wangapi wanakumisi kweli? Pima

JosephElly

JF-Expert Member
Jun 5, 2012
2,432
1,034
Dah.. Hebu jaribu hii uone matokeo. Kaa siku tatu bila kumpigia simu rafiki yeyote au mpenzi wako uone utapata wangapi watakato piga, kutuma SMS au angalau kubeep... Nadhani hiki ni kipimo kizuri cha wanaokumiss.

***No call without missed call****
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom