Wangapi wanakubaliana na hili?

wewe ushindwe na ulegee

uwi kwanza ngoja nikusamehe bure
halafu borea nichague maneno yangu careful kwa sababu babu DC yuko hapa...

hii ni hoja tu na mtu kauliza swali na mi nimemjibu....
kwa hiyo ka yanakuuma sana na yanakuchoma sana si lazima ujibu...
 
labda ni kweli mama alikua anafanya hayo mambo lakini mimi hayo sijui...

lakini usema ukweli wanapendana sana ndo maana hawataki kuacha
na wanaipenda familia yao sana..
kwa hiyo huo uamuzi wa open relationship ndio waliona ni best option kwao...

ukizimaltiply hiyo blue kwa hiyo red....tunarudi kulekule kwa baba enock...open-closed relationship.

Babu anaapa HUWEZI MPENDA MMKEO/MMEO kwa maana halisi ya KUPENDA halafu ukaingia mkataba kama wa IPTL wa OPEN RELATIONSHIP..... Naapa HAKYA MUNGU VILE.

Ngoja babu arudi kitandani.
 
Makabila mengi ya wafugaji hapa Tanzania yana ndoa za namna hiyo, japo jina linaweza lisiwe la namana hiyo.Sijui kwa miaka ya karibuni hali ikoje, lakini miaka ya nyuma jambo hili la kuwa na mahusiano nje ya ndoa na mwenzi wako akajua kwa mila na desturi za makabila kadhaa ya wafugaji ilikuwa kawaida.

Sifahamu wanadoa hao watokana na makabila ya wafungaji au la!
 
hahahahah lol haya babu usiku mwema usisahau kutoa meno
yake kwenye glass yenye maji ile kesho yawe masafi...

nway hawa watu wanadai na wanasema wanapendana...
lakini watu ka mimi na wewe hatutaelewa na hatutakubaliana nao ...

nway gdnite babu sweet dreams..
 
Makabila mengi ya wafugaji hapa Tanzania yana ndoa za namna hiyo, japo jina linaweza lisiwe la namana hiyo.Sijui kwa miaka ya karibuni hali ikoje, lakini miaka ya nyuma jambo hili la kuwa na mahusiano nje ya ndoa na mwenzi wako akajua kwa mila na desturi za makabila kadhaa ya wafugaji ilikuwa kawaida.

Sifahamu wanadoa hao watokana na makabila ya wafungaji au la!

asante mkuu umbe haya mambo yapo hata kwetu
The Following User Says Thank You to Malunde For This Useful Post:

afrodenzi (Today)​
 
hahahahah lol haya babu usiku mwema usisahau kutoa meno
yake kwenye glass
yenye maji ile kesho yawe masafi...

nway hawa watu wanadai na wanasema wanapendana...
lakini watu ka mimi na wewe hatutaelewa na hatutakubaliana nao ...

nway gdnite babu sweet dreams..

Babu hana meno. Babu ni kibogoyo.
 
aaaahhhh babu mali yangu ni yako ..
you go ahead and do whatever u you want hahahah lol

Mi kazi yangu ni kunukuu tu.

Wenye wivu na wajinyonge na Mungu awalaani awajalie wawe na open rileshenship. AMEN!
 
Babu hana meno. Babu ni kibogoyo.

ai babu
mmmmhhh mbona niliku nunulia ya bandia ...
kwa sababu ulisema unataka kutabasamu wakati una kagua hahhahhaahah lol
au umeyaacha wapi tena babu....
 
Nionavyo mimi ,hakuna tatizo lolote hapo kama kutakuwa na makubaliano ya wawili hao kutegemea na desturi zao,ila kama itatokea mmoja kati yao akakataa hiyo open relationship basi itabidi yule aliyetoka nje ya relationship mwanzo ndio aadhibiwe(adhabu gani,watajua wenyewe).Nasema hivyo kwa kuwa dunia imebadilika na nilishashuhudia mume ni dereva wa heavy duty trucks na yuko barabarani kila siku na mke ni mama wa nyumbani hivyo wakakubaliana kuwa na open relation kwa masharti kuwa wakikutana wanalimega tunda kwa kutumia kinga ila wakitaka mtoto lazima wakapime kwanza.
 
Mi kazi yangu ni kunukuu tu.

Wenye wivu na wajinyonge na Mungu awalaani awajalie wawe na open rileshenship. AMEN!

hahahahahhahahahahhah lol
kwakweli babu umenichekesha sina hamu ...aaee
wewe sikuwezi
 
Hahaha...halafu skulimeti unajua una kesi ya kujibu?

Amani ya Bwana na Itawale nyumba yako 2011.
Hommie naomba hii kesi ya skuli meti mimi niwe wakili lazima tumpe death penalt huyu!
 
ai babu
mmmmhhh mbona niliku nunulia ya bandia ...
kwa sababu ulisema unataka kutabasamu wakati una kagua hahhahhaahah lol
au umeyaacha wapi tena babu....

Yale yalikuwa ya kichina. Ukipiga chafya yanayeyuka.
 
Kama wao ni free spirit bado haiwapi uhuru wa kufanya lile lililo kinyume na mila na tamaduni zao. labda tungejua mila zao zinasemaje juu ya hilo.
 
[/B][/COLOR][/SIZE] hahahahahhahahahahhah lol
kwakweli babu umenichekesha sina hamu ...aaee
wewe sikuwezi

Hivi mtu akicheka huwa anakosa hamu? Kumbe ndo maana bibi ako hanipi baioloji yake kwa kuwa anacheka mara kwa mara. Mungu na amwepushe na kukosa hamu. Amen! (NB usicheke tena utakosa hamu afu utakumbwa na laana ya open rileshenship)
 
Back
Top Bottom