Wangapi wanakubaliana na hili?

Solution nzuri kwo lakini sio kwa WATOTO na JAMII inayowazunguka!!!
NDOA ni TAMU mnapokuwa na AMAN,UPENDO na UTULIVU
lazima ipo siku hivi vi2 vitakosekana in OPEN relationshp!!

haya sawa kabisa....
wamesameheana lakini wameongea na wemelewana kwa roho nzuri kabisa
kwamba hii ndo solution nzuri.....
kwa ndoa yao.....
 
Solution nzuri kwo lakini sio kwa WATOTO na JAMII inayowazunguka!!!
NDOA ni TAMU mnapokuwa na AMAN,UPENDO na UTULIVU
lazima ipo siku hivi vi2 vitakosekana in OPEN relationshp!!

yaahi hapo umeonge cha maana sana... :whoo:
 
Namsupport huyo mwanamke. Kama ana watoto na hataki kuonesha kuwa kuna mgogoro bora afanye hivyo ila wawekeane mipaka ya kutoleta wapenzi wao nyumbani.
They can sleep in the same room but different beds.
 
ok very interesting......
vizuri kuona watuwana saport pande zote....
 
Namsupport huyo mwanamke. Kama ana watoto na hataki kuonesha kuwa kuna mgogoro bora afanye hivyo ila wawekeane mipaka ya kutoleta wapenzi wao nyumbani.
They can sleep in the same room but different beds.

Ikiishafikia hatu hiyo sidhani kama kuna suala la kuwekeana mipaka tena
 
kwa waislam, hamna noma, ila kwa wakristo huo ni uchizi, anatakiwa kukimbizwa harakaharaka mirembe.
 
Enzi zetu (1947), mambo kama hayo tuliyaita BANGI AU Gongo la Mwanza (linalotokana na kutapisha vyoo)!

Kama wanafikiria hayo mambo kwa nini wasifungue biashara hapo home au wakapanga nyumba kabisa ili watengeneze mafweza?

Naona wanataka kuoga tope kwa kutumia maji taka!
 
Babu mwenzangu naona mwaka huu umeuanza vibaya lol....naona kama unapiga jaramba la twaarab. Manake hayo maneno mi hoi!~
 
Enzi zetu (1947), mambo kama hayo tuliyaita BANGI AU Gongo la Mwanza (linalotokana na kutapisha vyoo)!

Kama wanafikiria hayo mambo kwa nini wasifungue biashara hapo home au wakapanga nyumba kabisa ili watengeneze mafweza?

Naona wanataka kuoga tope kwa kutumia maji taka!

yaani Babu DC sijui tunaelekea wapi dunia hii sasa...

mambo ambayo yalikuwa magumu hata kusema majini..
sasa yanatendeka wazi wazi .....
 
An open relationship is a relationship in which the people involved agree that they want to be together, but in which romantic or sexual relationships with additional people are accepted, permitted or tolerated. To large degree this is a generalization of the concept of open marriage beyond matrimonial relationships.

Hebu tutafsirie kwa lugha ya Nyerere hii definisheni ya mahusiano ya wazi. Wengine tumesoma shule za msingi za kata darasa la saba B
 
Yaani ukimfumania kitandani kwenu unamuomba radhi kwa kumkatiza starehe sio?:redfaces::redfaces:

Hahahaha.... wewe bana wewe. Hawamaanishi hivyo. Yaani utamfumaniaje mtu mliye naye kwenye open releshenship? Ukimkuta (siyu kumfumania) unamwambie 'HEBU MALIZIENI HARAKA, NA MIMI NNA HAMU'
 
Back
Top Bottom