Wangapi Mna Ndoa Halali if You take This Pic Literary...?

mi ndo maana kila siku nachekea tumboni tu watu wanapotunishiana misuli kuhusu dini ipi ni bora wakati hata wahazifuati..heri mie niliyeamua kuzi-dismiss dini zote maana najua kama kuna moto tutakutana tu either way..
 
The bridal blood on the sheet shows oath of commitment, so ukioa mwanamke ambaye si bikira ujue kabisa kiapo cha uaminifu kwako hakipo kwahiyo mnao oa wanawake wasio bikira muache malalamiko ya kutokuwepo uaminifu kwa wenzi wenu.
 
Tukianza kutoa tigo ili tuwawekee mbele mnapiga makelele.....
kwa ajili gani uitoe hiyo nyingine?? hehee..mi nilivosoma surah sijui ayat inasema 'virgin' sasa haija-specify ni ipi! ngoma inogile na midini yenu.. mi naona kama unatoa toa tu zote kwa moyo wote, ijulikane unatoa, sio unatoa moja na kuacha nyingine.. :pound:
 
ukifungua mlango afu ukajiridhisha kwamba ndoa yako ni poa, je kesho ukikuta njemba nyingine inaingia hapo uhalali wa ndoa utakuwaje. Pointi ni maridhiano tu na ndio maana wanawake waliozaa wanaolewa.
 
kama ni yeye mwenyewe mlianzana kabla ya ndoa?
Asprin na wakaka wengine saidianeni kujibu hili swali
 
Last edited by a moderator:
kwa ajili gani uitoe hiyo nyingine?? hehee..mi nilivosoma surah sijui ayat inasema 'virgin' sasa haija-specify ni ipi! ngoma inogile na midini yenu.. mi naona kama unatoa toa tu zote kwa moyo wote, ijulikane unatoa, sio unatoa moja na kuacha nyingine.. :pound:

Simply, nilikuwa namaanisha kuwa ikiwa wanaume hakuna njia ya kuthibitisha kama ni bikira at the same time its Ok kubanjua mademu. Sasa hao hao mademu wanatakiwa wawe mabikiria unafikiri watakuwa wanawabanjua akina nani au kwa njia gani?

Its either one of the two, watu wanatoa mtandao au mnauziwa mbuzi kwenye gunia, bikira fake nyingi tu madukani. Mkiacha kuweka hizi double standard nafikiri upuuzi wote huu utapotea.

NB: Don't quote surah and ayat if you don't know 'em.
 
kwa hyo unataka kutuaminisha kuwa wanawake wote wasio mabikra sio waaminifu kwenye ndoa zao.....??????

Back
Top Bottom