Wanga wameninyoa ndevu hazioti

Mkuu za kuambiwa changanya na zako..
Manake huyu "Kalumanzila" huyu Yesu..Ila mkabidhi Mungu maisha yako..
Hao wanga hatakusumbua tena..
 
Jamani nina tatizo kubwa kweli naombeni msaada kama kuna anayejua namna ya kutatua;

Ni hivi, mwezi wa tatu mwaka huu 2010 jumamosi moja niliamka asubuhi na kukuta sehemu ya ndevu zangu imenyolewa tena kipara hasa kinafanya kuwaka, nikajishangaa kwelikweli maana sijawahi kupata kisa kama hiki kabla.

Sasa huu ni mwezi wa saba unaisha ndevu hazijaota, nifanyeje ndevu ziote jamani mwenzenu!!!!

Msaada tafadhali wana JF.

:twitch:

wanga hawana adabu kabisa ... naona watu hawaamini lakini hii kitu ni kweli kabisa! huwa wanpenda kunyoa ndevu za kiume hasa sehemu za mashavu (wanaweka kama vishilingi hivi) na chini ya kidevu ... aisee sijui huwa wanatumia wembe au ni nini ... lakini panakuwa smooth ile mbaya ... nimeshashuhudia hali hiyo kwa jamaa zangu kadhaa ... hivyo jitahidi sana uwe unasali usiku kabla ya kulala na kukemea nguvu zote za giza utalala raha mustarehe ... ila siku ukisahahu kusali tu kazi unayo ... lazima walipize siku zooote ambazo nguvu ya sala ilikuwa inawazuia kukuchezea! ..... pole na ubarikiwe sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom