Wandugu naombeni ushauri wenu:

miezi mitatu sio mda wa kusema huyu ni mchumba ni mda mfupi sana huo,ingekuwa mmefahamiana kwa muda walau wa mwaka sawa huo ni mda mfupi sana,umeshagundua hilo unahangaika nn? mke wa anatafutwa kwa miezi mitatu umeona wapi? acha utoto,

nimekusoma ila haya mambo ayana utoto,watu wazima wanalia na wengine wakifumaniwa na wake za watu shughuli inakuwa pevu sana,maaana jamaaaa atatoa opsheni mbili 1 akukate mkono au 2 akukate uume? sasa sijui lokissa utaangukia wapi hapa endapo siku moja utafumaniwa na mke wa mtu.haya mambo ya mapenzi bana tuyaache tu kama yalivyo.
 
SD,

Huyo dada alishaamua siku nyingi ndiyo maana akajaribu kukodisha majeshi ya kumsaidia (kumpa namba yako Ally)....Kaa pembeni na umwone kama rafiki yako wa zamani.

Ila kwa uzembe wake wa kushindwa kukueleza ukweli na msimamo wake (kama mtu huru...tena mwanamke wa kizazi kipya), anakupatia advantage ya kujivinjari naye baada ya ndoa (unakuwa ExBF mzuri sana) kama ambavyo Ally atafanya endapo wewe utapewa nafasi!!

Hilo bomu lazima limlipukie yeyote kati yenu (wewe au Ally)!! Mngemtendea haki kama ingewezekana kumwacha atafute mtu mwingine na nyie muwe ma ex BF....ingawa pia hamtakosa kupewa ofa mara moja moja!!
 
Hilo nalo neno.
 
Hilo nalo neno.

Haya mambo ni magumu sana,

Muonee hurumwa mdada wa watu na kumwelewa....Keshauvaa mtego na ki ukweli yuko njia panda...Hapo tu anawaza jinsi ya kuishi na wanaume wawili maisha yake yote....Na labda atakuwa na watatu huko mbele ya safari!!

Ila pia tusimuhukumu sana dada wa watu...Labda kweli anafanya novena ili Mungu ampe mume mwema...Si unajua ili uchague lazima uwe ni vitu >1???
 
Lakini sio mbaya kwa sababu nimepiga mihuri kama 12 times hivi.
maneno ya mkosaji. ila mzee women are not predictable. ndivyo walivyo hata ukiwaweka ndani bado ni tatizo na ndio maana. according to islam. tunahimizwa kuepuka sana na wanawake walioachika ie walikuwa na wanaume then wakaachana. Na wewe pia unaonekana hukuwa na lengo naye la muda mrefu na ndiyo maana ukafukuzia kugonga mihuri tu.
 
That's real life.....!!!!
 
Safi inapendeza kwa ushauri mzuri,kwa kifupi nilikuwa na malengo naye tena ya muda mrefu sio kama jinsi unavyofikiria kugonga mihuri ni jambo la kawaida tu.
 
Kwahiyo na mimi nina advantage kwako kwa kuwa tupo wote hapa JF? if yes nianze mchakato haraka..........

ah! Matola... I am already spoken for... Ila ukihitaji assistance... tupo pamoja....lol
 
Ashadii:umeongea busara sana sana,nimejaribu kugangamala kama unavyo sema kwa wiki tatu,mtoto aelekei kabisa,na sasa hivi anakwambia haya mambo yote amemkabidhi mungu,kwa hiyo kasema hata mimi nikitaka kuendelea kuwa naye lazima nimuombe mungu sana,sasa hapo sijui unasema ashadii?

na hata katika maongezi yake anasema hakuna mtu aliyemkosea kwa sote wawili,lakini yeye anakabidhi hili swala kwa mungu aweze kufanya maamuzi sahihi,kuwa yupi bora na yupi mwenye dhamira ya kweli...

Bado hujani convince Sulpha... alafu ujue unaniangusha ujue?? Three weeks ndo waweza sema kua ni mda mrefu?? Hapana, kweli kama unampenda kazana... Alafu ukizingatia kamuachia Mungu awe mwamuzi... mbona hapo ndo inakua rahisi zaidi, tena una nia njema ya kumuoa... I am telling you kua nahisi juhudi zako ni finyu...
 
AshaDii,
Huoni kuna uwezekano mkubwa hata kama Ally ataachwa kwa sasa wakikutana tena na huyo binti kufunuana nguo kutaendelea kama kawa?. Ningekuwa mimi nisingeendelea maana najuwa ni nafasi tu na umbali ndo unaweka kizibe lakini hawa wawili bado wataendelea kukamatana pindi wakutanapo, BP ya nini? Akiaga anaenda kusalimia nyumbani wewe huku roho inabaki inauma. Mbaya zaidi binti aseme anaenda Mwanza kikazi mara moja..... hapo roho juu, yote hayo yanini?

ah! Ngo... hapana bana.. Dah! Ingekua hivo si ina maana woote walooa wangekua hawaoi, kama woga ndo huo?
 
Safi inapendeza kwa ushauri mzuri,kwa kifupi nilikuwa na malengo naye tena ya muda mrefu sio kama jinsi unavyofikiria kugonga mihuri ni jambo la kawaida tu.
duh! hilo si la kawaida kidini wala kimila. cha msingi achana naye start afresh at MAY BE itasaidia maana hao ndugu zetu mmmhhhhhh!1
 
Bado hujani convince Sulpha... alafu ujue unaniangusha ujue?? Three weeks ndo waweza sema kua ni mda mrefu?? Hapana, kweli kama unampenda kazana... Alafu ukizingatia kamuachia Mungu awe mwamuzi... mbona hapo ndo inakua rahisi zaidi, tena una nia njema ya kumuoa... I am telling you kua nahisi juhudi zako ni finyu...

Asante sana AshsDii!!!!!Juhudi sio finyu ila tatizo linakuja kwake,hataki tuonane,ukimpigia simu kuipokea ni shughuli pevu,sasa unafikiria hapa mambo yamekaaje?

red:sikuangushi mama:
 
Back
Top Bottom