Wandamba mpo?

Tehe Tehe wandamba bwana.....,I heared something like if they eat conocono vile but above all they are so kind.
 
Wandamba ni watu fulani wakija huku mjini hawarudi kwao kabisa.Kuna hali ngumu kupindukia ya maisha huko.Jinsi ya kufika bila reli ya Uhuru (TAZARA) hakuna tena,Ni wakulima wa mpunga small scale farmers,wawindaji na wauzaji wakubwa wa meno ya tembo.Huku ndiko watokako kina Dr.Ngasongwa na wasomi wengine wasorudi kwao,.
 
Umekosea lakini mkuu. Kwani kila anaeenda kwao lazima aje kukuaga wewe? Mbona una mambo ya kizamani hivyo aisee? Ni watu wa wapi ambao wakijijgenga mjini wanahamia tena kwao? TZ tunaishi popote. Kama upo mjini ukajijenga tatizo lipo wapi? Huko kwenye asili yetu tunaenda kusalimia inatosha. Unataka watu wote warudi ili hapo city wakae watu gani? Hiyo biashara ya meno ya tembo ulifanya nao lini? Acha kutaja majina ya watu bila sababu,respect other people.
 
Mkuu heshima mbele , kwenu ni kwenu tuu hata ukiwa maiti lazima watu wa kwenu waje kukuzika hata kama utazikwa Mlandizi.Biashara ya meno ya tembo siyo siri hata kama sikuifanya wewe na wenzako mnashusha mizigo kule Pugu na kufuatwa usiku ,Kwanini msiishushie kituoni ? Nimemtaja mbunge wao kwa sababbu wao walimkataa alihali walimchagua wenyewe.Yeye ni mfano wa kupigia gumzo kwa jinsi gani watu wa huko wasivyorudi makwao.Hata huko kuslimia nako ni msamiati mzito.Mkuu elewa hata kama umeoa huko mwenyewe huendi kwani mka mwana wao anakwambia kule ni wachawi!!!
 
Umeshapotosha argument. Lakini majority huenda kwao ndio maana ukasema wanatumia train. Kingine ni kwamba huyo uliemtaja wala hatoki maeneo aliyoyataja mwandishi wa thread hii na wala reli ya TAZARA haifiki huko kwao(malinyi). Kwa hiyo umebuni tu hujui kitu. Unapoongelea reli ya TAZARA na jinsi mada hii ilivyoletwa unataja watu wote walioko kando kando ya reli Ifakara(Kilombero). Uliemtaja yupo wilaya ya Ulanga,malinyi huko. Usipende kuongelea mada usizozijua vizuri kaka.
 
Mkuu heshima mbele , kwenu ni kwenu tuu hata ukiwa maiti lazima watu wa kwenu waje kukuzika hata kama utazikwa Mlandizi.Biashara ya meno ya tembo siyo siri hata kama sikuifanya wewe na wenzako mnashusha mizigo kule Pugu na kufuatwa usiku ,Kwanini msiishushie kituoni ? Nimemtaja mbunge wao kwa sababbu wao walimkataa alihali walimchagua wenyewe.Yeye ni mfano wa kupigia gumzo kwa jinsi gani watu wa huko wasivyorudi makwao.Hata huko kuslimia nako ni msamiati mzito.Mkuu elewa hata kama umeoa huko mwenyewe huendi kwani mka mwana wao anakwambia kule ni wachawi!!!

Usituharibie thread yetu kwa mambo yako ya siasa. Inaonekana wewe upo kwenye kampeni kama sio kada wa mpinzani wa huyo mbunge unaependa kumtajataja. Hatuna interest hiyo hapa. Utuache tu tuendelee kuongea mambo yetu bana.
 
Mkuu una jazba na habari kibao za kubuni .Siasa wewe ndo umeleta huku.Nakuona zaidi kuwa u mshari kuliko kujenga hoja.Hata nikiangalia Profile yako JF wewe bado mchanga sana wa kuchambua mada .Kwaheri mie siyo mgomvi kihivyo!!!!
 
The law of natural selection has applied. The weak are automatically phased out! Habari gani niliyoibuni hapo? Facts zimekuengua jamvini. Kukwambia kwamba yule mzee anatoka Ulanga ndio kubuni huko? Ungeleta facts tu ueleweke. Just to give you a beam of light, mbunge wao ni Mh.Castor Ligallama(Jimbo la Kilombero) na sio Dr.Ngasongwa(jimbo la Ulanga Magharibi).
Karibuni wale tunaoishi kando kando mwa reli ya TAZARA tule stori. Chita,udagaji,ikule,lwipa,mngeta,mbingu,ifakara,idete,mofu,mchombe,kiberege,mang'ula,siginali,msolwa.
 
dah ifakaraaaa!!!! huku kuna ngarange pale pana tembo(mnazi) bila kusahau faya aka kiblanketi. kuogelea mto lumemo humohumo unapata njuju, kambare, kitoga. acheni kabisa, nyumbani ni nyumbani. mi nashangaa mtu sio mndamba anaanza kudandia gari kwa mbele. mara meno ya tembo, mara blah blah acha hizo bana
 
Unakujua kwa Churu? Chatu social hall?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom