Wanawake, zaidi ya uwajuavyo

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Ni mara kadhaa nimekua siteremshi uzi hapa kabla sijafanya mapembuzi yenye uyakinifu wa kina.
Dhamira yangu hapa ni kuyaweka hadharani yale niliyoyafanyia utafiti kuhusiana na kundi hili la wanawake katika ujumla wao.
Aidha viumbe hawa ambao ni Mama/Dada/Wake/Bibi/Binti/Shemeji zetu, awali nilikua nikijua tofauti walizonazo na Wanaume ni gender tu!, yaani zile tofauti za kimsingi.
Lakini siku baada ya siku nikaanza kugundua kumbe wanawake na wanaume wanazo tofauti hata ambazo si za msingi, mathalani hapa chini nitaziainisha tofauti hizo zisizokua za msingi.
> Nimeshuhudia mara kadhaa mko barabarani ambapo kuna magari yanaongozana, mara unasikia watu wanasema ile gari inaendeshwa na mwanamke gari ambayo iko kwa mbali kiasi cha kutomtambua muendeshaji. Na kweli inapowakaribia unakuta kilichosemwa ni sahihi na hata wewe ambae si dreva unaona kabisa gari hiyo hukua ukiiona inaendeshwa kama zingine.
> Kuna siku jirani yangu ambae ni dereva muajiriwa gari yake aliipeleka garage kwa service kabla ya safari, garage ambayo palikua na mafundi wanawake wawili, njiani wakati anasafiri tairi ya nyuma 1 ikachomoka alipokua anawapigia simu kule garage kuwalaumu akawa anawambia haya matairi lazima wamefunga mafundi wa kike, kitu kilichobainika baadae ni kweli.
> Kingine ni mwandiko kutumia kalamu atakapo andika mwanaume na mwanamke utaelewa tu!
> Cha kushangaza zaidi nimekigundua humu Jf na kule Fcbk kumbe hata katika uandishi wa threads/post zao zilivyo ukiangalia tu ule Mtiririko, Uwasilisho, Uandishi, Maudhui, Lugha waitumiayo lazima utagundua pozi flaniflani za kikekike!.
Huyo ndiyo mwanamke zaidi ya umjuavyo.
Naomba kutoa hoja.
 
Hilo gari moja lilitoka tairi lilifungwa bolt na wanawake, sawa. Ila kumbuka ma elfu ya magari mengine yamefungwa na wanaume...Soma hapa uone vile wanawake wanasifika kua better drivers than men. http://www.google.co.uk/url?sa=t&rc...lcxZ7KUiNPd-Q&sig2=N97M6S5qdCft1ld9ZZRY2QKama umeamua kuwaona wanawake tofauti basi utawaona tu sababu akili yako inachagua information gani itumie, na ushahidi mwengine wote unautupilia mbali.
 
Ndivyo walivyo! Tena na zaidi. Ni fumbo la kufumbua kidogo-kidogo lakini bila kulimaliza
 
Kama wanaume wote wangenyang'anywa funguo za gari kuanzia malori makubwa kushuka hadi bajaji na wakakabidhiwa wanawake, ajali zingepungua kwa 90%! Natamani muujiza huo ungetokea. Hii ni kulingana na maoni yangu.
 
Hilo gari moja lilitoka tairi lilifungwa bolt na wanawake, sawa. Ila kumbuka ma elfu ya magari mengine yamefungwa na wanaume...Soma hapa uone vile wanawake wanasifika kua better drivers than men. http://www.google.co.uk/url?sa=t&rc...lcxZ7KUiNPd-Q&sig2=N97M6S5qdCft1ld9ZZRY2QKama umeamua kuwaona wanawake tofauti basi utawaona tu sababu akili yako inachagua information gani itumie, na ushahidi mwengine wote unautupilia mbali.

Nimekukubali kwa point hiyo especially due the source attached! Hivi ndivyo inogavyo hoja kwa hoja! Big up! Japokua wale ni wanawake wa kizungu bt wana presentation enough.
 
Kama wanaume wote wangenyang'anywa funguo za gari kuanzia malori makubwa kushuka hadi bajaji na wakakabidhiwa wanawake, ajali zingepungua kwa 90%! Natamani muujiza huo ungetokea. Hii ni kulingana na maoni yangu.
Sure you are true absolutely! Watagonganaje wakati katika gari yenye speed 200 wanatumia speed 50 hawazidi ? Incredible !
 
Hilo gari moja lilitoka tairi lilifungwa bolt na wanawake, sawa. Ila kumbuka ma elfu ya magari mengine yamefungwa na wanaume...Soma hapa uone vile wanawake wanasifika kua better drivers than men. http://www.google.co.uk/url?sa=t&rc...lcxZ7KUiNPd-Q&sig2=N97M6S5qdCft1ld9ZZRY2QKama umeamua kuwaona wanawake tofauti basi utawaona tu sababu akili yako inachagua information gani itumie, na ushahidi mwengine wote unautupilia mbali.

Mwali wangu weeee......., asante kwa hili uziful post!!!
 
aisee JF najifunza mengi, nimejitoa FB cz watu wanasifiana picha tu yan too. wanawake tuko juu, juuu zaidi
 
aisee JF najifunza mengi, nimejitoa FB cz watu wanasifiana picha tu yan too. wanawake tuko juu, juuu zaidi

Sister! Katika ulivyovi'advance vya maana ni kusepa fcbk! Kule ni kama "o level" ukaja huku "graduate's holder" upuuzi ama u'layman niliouona kule wanaume hawachangii comments za wanaume wenzao! Afadhali wanawake wa fcbk atlist wako fair hawana sana isolation.
Then kubali au ukatae 75% fcbk users are adolence aged, huku heshima inapatikana ofcz tangu mi nime'join sijawahi ona picha image za vichupichupi! Ukiwa mtu wa vichupi lyk Jf utapaona bored.
 
mie ni taxi driver na wateja wangu wote wananifagilia kwa kusema niko makini kuliko mataxi driver wote wa kiume. na nikipata pancha nabadilisha tairi mwenyewe mbona huwa hazichomoki?? labda wanawake unaowaongelea we ni wale watoto mayai!
 
Inamaana hata wale wanaofake gender unaweza kuwajua kwa kuangalia siredi zao?
 
Back
Top Bottom