wanawake wote wapitie kozi ya CUSTOMER CARE....

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,883
Ofisini kuna wataalamu wa masuala ya customer
care wameletwa kuja kuwafundisha wafanyakazi
wa idara zote suala zima la customer care,
mabadiliko yaliyojitokeza hasa kwa wanawake
kuanzia jinsi wanavyokea simu,mpaka wanavyoongea.
nimekuwa convinced kuwa hizi kozi za customer
care zinatakiwa kwa kila mwanamke,hata kama
ni housewife........
 
Na wanaume je hawahitaji hii kozi??? Hawajabadilika hao wanaume wa hapo ofisini????
 
Ok thats gud wanaume wanahitaji wapitie coz ya handling care
 
Na wanaume je hawahitaji hii kozi??? Hawajabadilika hao wanaume wa hapo ofisini????

ha ha ha
actually nilitegemea hili swali....
mabadiliko yapo pia kwa wanaume but....
wanawake yamewafanya wavutie zaidi...
wanaume wanakwenda hivyo hivyo kiubishi ubishi...
wanawake wanakuwa na ka mvuto hivi....
 
Kweli kabisa, wabongo wengi hatuna elimu ya customer care ndo maana unauliza swali unajibiwa kwa swali, rules za customer care ni kuwa mteja ni mfalme, na always customer is right, yaani wakati wowote mteja yuko sahihi, usibishane naye wala kumwambia mwongo wewe, so akina dada hata sie wanaume tungekuwa na huu ujuzi nadhani kumbi za harusi zingefurika au twalaka zisingekuwepo au zingekuwa ndra sana hahahahahaa
 
Ofisini kuna wataalamu wa masuala ya customer
care wameletwa kuja kuwafundisha wafanyakazi
wa idara zote suala zima la customer care,
mabadiliko yaliyojitokeza hasa kwa wanawake
kuanzia jinsi wanavyokea simu,mpaka wanavyoongea.
nimekuwa convinced kuwa hizi kozi za customer
care zinatakiwa kwa kila mwanamke,hata kama
ni housewife........

Hahah isije ukawa pale ofisi za TWIGA MNYONGE (Tanesco) juzi hapa nimeona eti ndo wameanza kufundishana na kuzindua customer care, miaka yote hiyo ya monopoly walituona wateja kama watuflani wasumbufu tu, sasa wamezinduka.
 
ha ha ha
actually nilitegemea hili swali....
mabadiliko yapo pia kwa wanaume but....
wanawake yamewafanya wavutie zaidi...
wanaume wanakwenda hivyo hivyo kiubishi ubishi...
wanawake wanakuwa na ka mvuto hivi....

Hebu nijuze zaidi hapo kwenye blue tafadhali mvuto gani huo haswa????
 
Mm nafundisha that coz,maana wanaume handling care to most of them ni 0

Inabidi wale ambao hawajui handling care wafanye registration kwako, ila mimi nawashauri wasome novel moja inaitwa "TO HAVE AND TO HANDLE"
 
[/COLOR]

Hebu nijuze zaidi hapo kwenye blue tafadhali mvuto gani huo haswa????

we hujawahi vutiwa na mtu kwa jinsi
alivyoongea na wewe kwenye simu?????
au mazungumzo ya kiofisi tu?
 
Just pm me maana huu ujuzi unategemea na mtu na mtu c kila mtu lazima anamatatizo yake,so lazima nijue historia yako ili nijue umefeli wapi kwenye handling
mimi ningependa unifundishe..
Hebu nipe arrangement zako....
 
we hujawahi vutiwa na mtu kwa jinsi
alivyoongea na wewe kwenye simu?????
au mazungumzo ya kiofisi tu?

Ahaa kumbe hivyo ishawahi kutokea na bado inatokea sana tu. kwa hiyo jinsi anavyozungumza na wewe mteja wapata kuvutiwa nawe si ndio kama ni kibiashara au mambo mengine. Kwa hiyo Boss wewe ushavutiwa tayari??
 
Just pm me maana huu ujuzi unategemea na mtu na mtu c kila mtu lazima anamatatizo yake,so lazima nijue historia yako ili nijue umefeli wapi kwenye handling

mimi sijafeli .
ila ningependa kuongeza ujuzi.
wewe njoo pm.basi
 
Ahaa kumbe hivyo ishawahi kutokea na bado inatokea sana tu. kwa hiyo jinsi anavyozungumza na wewe mteja wapata kuvutiwa nawe si ndio kama ni kibiashara au mambo mengine. Kwa hiyo Boss wewe ushavutiwa tayari??

we mgumu kuelewa naona..
ni hivi unaweza kuwa umekasirika sana...
na ukampigia mtu simu huku unafoka.
halafu huyo mtu akakutuliza na kushusha taratibu..
ukamaliza mazungumzo hata vicheko hivi.
hiki naona wanawake wanapaswa kujifunza.
ndo maana nikasema hata housewives wafundishwe..
 
Unaona sasa?yani mpaka hapo handling care yako 0 unamuita mwl wako njoo?use polite language plz ticha ni pm basi,hapo utakuwa unaanza kujifunza handling sawa mwanafunzi?
mimi sijafeli .
Ila ningependa kuongeza ujuzi.
Wewe njoo pm.basi
 
Unaona sasa?yani mpaka hapo handling care yako 0 unamuita mwl wako njoo?use polite language plz ticha ni pm basi,hapo utakuwa unaanza kujifunza handling sawa mwanafunzi?

ok my dear teacher.
the thing is i am used to call people..to come to me.
i am the boss ,remember?????
 
DNT WORR STUDENT ZEA ARE AZAS ambao wameshindikana ww mbona bado?ntakuweza sana tu,ur ze boss agree but without a ticha u couldnt be a boss,rememba?am pearl means mo precious than Gold,Silver and others rememba?

mhhh.
nakuja pm.
 
Back
Top Bottom