Wanawake wote wakiwa independent...wanaume tutalia.......

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,883
Kuna mwanamke mmoja ambaye anafanya kazi kitengo cha haki za
binaadamu hapa tz nilikuwa napiga nae story.....

Maelezo aliyonipa yamenifanya nianze kuamini kuwa
hizi harakati za wanawake mwisho zitaleta maumivu mengi kwa wanaume

mfano anasema kwa ujibu wa haki za binadaamu...

Mume hutakiwi hata kugusa simu ya mke.
Kumuuliza nani amempigia mfano umesikia sauti ya kiume inaongea
kwenye simu na mkeo.....na mambo mengi mno.....

Mwisho tukaishia kubadilishana namba za simu..
Akaniambia niko free kumpigia time yeyote...hata usiku wa manane...

Mumewe hawezi kumuuliza wala kupokea simu yake...

Yeye na mumewe wote wanasheria.........
 
Hizo haki za binadamu zinazosema yote hayo ziko wapi? Maana asije akawa alikuwa anakuambia makubaliano yake na mumewe na kujifanya kana kwamba makubaliano yao ndio haki za binadamu.
 
Sidhani kama mambo hayo kwenye ndoa yanahitaji haki za binadamu. Ni suala la kuheshimiana tu. Kama mke wangu anapokea simu ya mwanamume na haonishi wasi wasi kwa nini mtu utie shaka. Hilo ni sawa tu hata kwa mwanamume pia. Tatizo linazuka pale ambapo simu inalete hysteria. Yaani kulia tu, mtu anapagawa na kukata network kwa kuhofia usalama! Mambo ambayo nadhani yanahitaji haki za binadamu kwenye ndoa ni kama yale yanayohusu kunyanyasana na mateso ikiwemo kipigo.

Ila kama ndo hivyo wapigani haki za akina mama wanatafuta basi naona itakula kwao kwani wanaume ndo wanaaminika kufanya uhuni zaidi na wazi wazi kwenye ndoa!
 
Yeye anavyosema ni kwa mujibu wa haki za binaadamu....
Mimi mwenyewe nimebaki hoi....
 
Yeye anavyosema ni kwa mujibu wa haki za binaadamu....
Mimi mwenyewe nimebaki hoi....

Anarejea mamlaka gani kusema ni haki za binadamu? Hizo haki anazozizungumiza huyo 'mwanasheria' ziliidhinishwa na kuridhiwa lini, wapi, na nani?
 
Msingi wa haki ni usawa. Sasa kwenye hizo 'haki za binadamu' za huyo 'mwanasheria' sioni usawa......
 
Yeye anavyosema ni kwa mujibu wa haki za binaadamu....
Mimi mwenyewe nimebaki hoi....
Hajui analoongea, au ulimbukeni wa elimu unamsumbua. Anasahau katika maisha kuna haki za kupendana na kuheshimiana kama wapenzi, na hizi hazijaandikwa pahala popote bali mtu unakua na kuzitambua kama tu vile unavyokua na kujua huwezi kuendelea kunyonya kwa mama ukiwa jitu zima!!
 
ako kadada kalikuwa kanataka kufanya 'RIGHT" na wewe na ndo mana kakuambia umpigie tu ata siku wa manane
alikuwa anamanisha m free u can cal me n i can do woteva ata ku.......mumewangu nimegombana nae so hawezi kuniuliza chochote....
-ktk hali ya kawaida ata km si mpz wako ni mtu tu ata demu mwenzako mmelala rum moja then ukapigiwa usiku wa manane lazima atakuuliza nani uyo usiku huu..uyo wana mabifu na mmewe asisingizie sheria wala human right..........hana amani na mumewe uyo:fear:.
byeeeeeeeeeeeeee
 
Wanasheria ni kama mashine. Mambo mengine ni wazi kabisa na wanayafanya kuwa magumu. Hii yote ni kwa hisani ya watu wa marekani. Ndugu wa mada nikutoe hofu. There will never be independent women as there are no independent men. Pretence of indepenency is an aspect of frustratrion and indifference in choices
 
ako kadada kalikuwa kanataka kufanya 'RIGHT" na wewe na ndo mana kakuambia umpigie tu ata siku wa manane
alikuwa anamanisha m free u can cal me n i can do woteva ata ku.......mumewangu nimegombana nae so hawezi kuniuliza chochote....
-ktk hali ya kawaida ata km si mpz wako ni mtu tu ata demu mwenzako mmelala rum moja then ukapigiwa usiku wa manane lazima atakuuliza nani uyo usiku huu..uyo wana mabifu na mmewe asisingizie sheria wala human right..........hana amani na mumewe uyo:fear:.
byeeeeeeeeeeeeee

....yep, au wamechagua kuwa na open relationship kati yao!!
 
Huyo mwanasheria wako alikuwa anakutania hakika!
Na ndio maana akaishia kukupa namba yake ya simu.... hakuna haki kama hiyo katika framework yeyote ile iwe ya kimataifa au kitaifa.
Usiponzeke tu!
 
Mwisho tukaishia kubadilishana namba za simu..
Akaniambia niko free kumpigia time yeyote...hata usiku wa manane...

Mumewe hawezi kumuuliza wala kupokea simu yake...

Yeye na mumewe wote wanasheria.........

the boss wewe ungetakiwa kumwambia kua mkeo angekasirika akisikia unaongea nae usiku wa manane
lakini wewe ulichofanya ulikimbilia namba ya simu haraka
nyinyi wote mlikuwa mnatongozanaaaaaa na huyo lawyer amekupa green light
have fun
 
Back
Top Bottom