Being empowered doesnot mean you are excluded from your responsabilities. Mwanaume ni mwanaume na mwanamke atabakia hivyo mwanamke. Mbona tukisema kuna viroba vya ngao tukavinyanyue wanasema kunawanaume kama wamekuwa empowered kweli??.Women have been empowered these days. Our men ego should shift otherwise we would think the women we have are no wives material. The problem could not be women... the problem might be how men think about women. Just note that gone are days when women were just for cooking and raising kids.
Now days they can as well finance our household budgets.
.Twanga kotekote - Mwanamke akikusumbua tafuta "small house" - small house akileta tabu nenda "ohio street" - acha kuumiza kichwa kwa sababu ya mwanamke - there are so many "out there"
Hii ni tabia ya mtu hata kama asome, asisome kama aliumbwa na Kiburi atakua nacho tu.....
Ama? Kumbe wewe Tupu unapenda mamlaka. Ulitaka wanawake wawe chini kielim ili uwe na power eh? Kusema eti wanawake kama wanaume una maana gani kwanza? Kwani mwanaume ananini kichwani ambacho mwanamke hana? Fikra zako hizo sio sahihi kabisa, unatoka poli la wapi mzee? Hata wa polini wanaelewa kama haufit na mked atasumbua tu awe na elim na hasiwe na elim.
Twanga kotekote - Mwanamke akikusumbua tafuta "small house" - small house akileta tabu nenda "ohio street" - acha kuumiza kichwa kwa sababu ya mwanamke - there are so many "out there"
.weeeee hii hata mie siamini......
hatutaki kuwa kama wanaume lakini tunata kuwa na madaraka zaidi kuliko hiyo miaka ya nyuma ....
ninacho elewa mimi wanawake wengi wanata kila kitu 50/50 kwenye ndoa zao.....
bado unachoice ya kumuoa mbae si msomi...
.
Labda twambie ni madaraka gani mnataka na hiyo 50 / 50 ni katika yapi?. Mie nafikiri hata siku moja hatuta kuwa na uwiano huo wa 50/50 ktk mambo yote.. Pia kwanini tuone wasio soma kwa kuogopa hizo 50/50???
Hivi kwanini wanawake wengi hasa wa kitanzania waliosoma ni wasumbufu katika ndoa. Wakisha olewa nao wanakuwa kama wanaume!!! Tabutupu hii!!!!
Hivi kwanini wanawake wengi hasa wa kitanzania waliosoma ni wasumbufu katika ndoa. Wakisha olewa nao wanakuwa kama wanaume!!! Tabutupu hii!!!!