Wanawake wengi wanahamasisha nyumba ndogo

Wanawake wengi wanachangia sana kwa waume zao kuwa na vidumu aka nyumba ndogo. Mkiwa pamoja mwanamke ana visababu vingi sana vya kumfanya asiwajibike. Hivyo inawafanya wababa watoke (kidooogo) ili kurekebisha afya zao. Of course huko kwenye vidumu hakuna kulala maana kujituma kwao ni kwa kwenda mbele maana wanajua juhudi yake itamfanya urudi kwake. Amkeni wamama.

hamna ukweli. Huko nyumba ndogo si mnafata wanawake hao hao. Kama mkeo anafanya sivyo rekebishaneni. Sio kuhangaika hangaika kama kuku wanaotaka kutaga!
 
hamna ukweli. Huko nyumba ndogo si mnafata wanawake hao hao. Kama mkeo anafanya sivyo rekebishaneni. Sio kuhangaika hangaika kama kuku wanaotaka kutaga!
<br />
<br />
Very true mimi km mwanaume siwezi kumuacha mke wangu ndani eti nakimbilia mwanamke nje ili nijipoze then narudi home ujinga mtupu
 
Wanawake wanavisababu sana,mpaka sometime kurudi home inakuwa kero,jirekebisheni wamamaaaaaaaa!!!
 
Huyo KIDUMU wako huwa unakaa naye masaa mangapi kati ya siku 365? Kinachokufanya umuone wa maana ni kwasababu unakaa naye muda mfupi hivyo humzoei yaani unakuwa mshamba kwake, nakushauri hebu kioe hicho KIDUMU chako tuone kama hutatafuta KIDUMU kingine tena. Acha kabisa maneno yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom