Wanawake wazuri wazuri wameolewa.........................

Wanaume wasio jiamini daima hupenda kushindana na wanawake,na hukazana sana kuwafanya wanawake wajisikie duni ili wao waweze kujiona wakubwa au washindi,ndio eneo lao pekee la kuonesha uanaume wao.

Nchi zilizoendelea huwa wanaihamishia hii katika vitu mbalimbali na hasa michezo,kama Restling,Rugby,Hockey,Basket ball,Mashindano ya kuendesha Farasi,Mashindano ya kuendesha Magari,na michezo mingine mingi isiyokuwa na idadi,including video games nk.

Hili ndio linakuwa eneo lao la kuoneshana umwamba na ushujaa na kufeel big kwa kuwa hiyo ni asili ya maumbile ya mwanaume.Kwa mfumo wa nchi kama Tanzania mwanamke ndio anaishia kuwa victim.

Mfano mdogo angalia threads zinazo anzishwa hata hapa tu za kuonesha madhaifu na uduni wa mwanamke utagundua ndio zinazo ongoza.Hata aliyetuma hii thread sito shangaa akiwa ni mwanaume,lakini pia angalia hata wachangiaji wa kiume wanavyo ona fahari kitendo cha huyu mwanamke asiyeolewa au ambaye bado hajaolewa kujiona duni,hii inaonesha lipo tatizo tena kubwa sana.

Mwanaume anayejiamini anakuwa For Mwanamke na sio Against Mwanamke.
 
Wanaume wasio jiamini daima hupenda kushindana na wanawake,na hukazana sana kuwafanya wanawake wajisikie duni ili wao waweze kujiona wakubwa au washindi,ndio eneo lao pekee la kuonesha uanaume wao.

Nchi zilizoendelea huwa wanaihamishia hii katika vitu mbalimbali na hasa michezo,kama Restling,Rugby,Hockey,Basket ball,Mashindano ya kuendesha Farasi,Mashindano ya kuendesha Magari,na michezo mingine mingi isiyokuwa na idadi,including video games nk.

Hili ndio linakuwa eneo lao la kuoneshana umwamba na ushujaa na kufeel big.Kwa mfumo wa nchi kama Tanzania mwanamke ndio anaishia kuwa victim.

Bs jamani msameheni hajui alitendalo..........
 
Ikizingatiwa kuwa ndio mama,dada, wake zetu etc etc..
 
We wasema mjomba! Loh!
 
Back
Top Bottom