Bob Lee Swagger
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 1,362
- 515
Yamebaki manungayaembe yanahangaika.
Bahati mbaya ni kwamba ukienda kwa wenye ndoa wanaongea kinyume chake!!
Yamebaki manungayaembe yanahangaika.
Yamebaki manungayaembe yanahangaika.
MANUNGAYEMBE ni neno linalotumika kule Ungonini (Songea) kwa wanawake viruka njia (waliodharaulika). Maana ya neno hili ni 'WAOKOTA MAEMBE' yaani wanawake wa aina hii ni wale ambao hulala kona (kwa wanaume) na kuwahi kuondoka asubuhi sana kurejea makwao huku wakipita kuokota embe zilizoanguka usiku. Si mnajua ule muda wa kuokota embe alfajiri?
Khaa!! wanasemaje!
wengi tu wanajuuuuta! wanawatamani hao wanaoitwa manungayembe! hahahah! af kuna mwingine aliwahi kusema nikiwepo kwamba kama ingetokea anajikuta (kwa mfano) dunia imeanza upya asingerudi kwa mwanamke aliyenaye, wakati ndio kwanza wameanza maisha..! huwa najiuliza kila siku anafata nini kwenye hiyo ndoa sasa!!
Unanionaje!! na nimejificha!! Loh!!
Maaana yake ni yale mashankupe au magumegume,kazi yao kubwa ni wizi wa waume za watu,halafu hayanaga aibu.
Jamani jamani jamani jamani loooooh! Chokochoko vumilia tuu ipo siku utampata kashfa zitaishaYamebaki manungayaembe yanahangaika.
Nimeze tu mie Jicho!! Nitafurahi! Loh!