Wanawake wasikuhizi!!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Hivi jamani ni utandawazi au maisha magumu???

Mimi sielewi nini kinatokea kwa wadada waleo sijui nimaendeleo??au njaa zanmani ulikuwa ukiwa na demu unaweza kupatakiburudisho zaidi ya x6 hivi unaona aibu unampa pesa!!! lakini wasiku hizi ukibahatika ajakudai sehemu ya tukio basi ujue next time uende na hela vinginevyo uhusiano wenu utakufa nakama utakuwa unampigia simu utaona haipokelewi!!!Hata kama anafanyakazi tabia nihilehile je nini wajameni???:fear::noidea:
 
Mzee unaokota vimeo sana.....duh pole..........LOL. Yaani nimecheka sana. Unavyolalamika!!!!!!!!!!
 
mtaka cha uvunguni sharti ainame...vumilia hvo hvo tu broda..!!by the way, mkopo huwa hupewi?
 
Hivi jamani ni utandawazi au maisha magumu???

Mimi sielewi nini kinatokea kwa wadada waleo sijui nimaendeleo??au njaa zanmani ulikuwa ukiwa na demu unaweza kupatakiburudisho zaidi ya x6 hivi unaona aibu unampa pesa!!! lakini wasiku hizi ukibahatika ajakudai sehemu ya tukio basi ujue next time uende na hela vinginevyo uhusiano wenu utakufa nakama utakuwa unampigia simu utaona haipokelewi!!!Hata kama anafanyakazi tabia nihilehile je nini wajameni???:fear::noidea:

Umekutana na ambao wako kibiashara zaidi!..Pole!!
 
Sasa unalipia nini kinachofaa kulipiwa? kama kilishavurugwa kama majaruba ya mpunga!
 
Mzee unaokota vimeo sana.....duh pole..........LOL. Yaani nimecheka sana. Unavyolalamika!!!!!!!!!!

Nakuunga mkono Da Womenizer nadhani mwenzetu huwa anabahati mbaya ya kukutana na wanawake ambao bado wana fikra potofu kwamba kila kitu ni lazima mwanaume akufanyie wakati sivyo.
 
sa km unaenda kwa mwajuma mapoda anayeishi magomeni aliacha shule form 2b then ana watoto watatu wasiokuwa na baba unategemea nini?????
au unaenda kwa mdada duu anayedrim good life na mwanaume kwake ni km MOVABLE ATM wat do u xpct?
ukiwa makini utapata decents ambao awatataka ata sh kumi kwako cz she z nt for sell.
pia chek venue unazoopolea...km waenda opoa jakies,q bar,jollie wat do u thk?thou sjasema ukiopolea kansani utakuwa safe na zana i apana.
b carefull na iyo indvidual unayoiface.
 
Mzee unaokota vimeo sana.....duh pole..........LOL. Yaani nimecheka sana. Unavyolalamika!!!!!!!!!!

Mzee siyo nimekutana na vimeo wala unajua unapokuwa na wenziyo katika sehemu za kazi vijiweni katika mabaa unakutana namambo mengi naunasikiliza mengi unakuta jamaa anasema mhn yule demu mimi hapa ofisini kanichenjia unauliza kulikoni?ahaa unajua alikuwa mshikaji tukitoka tunakaa brkpoint tunasubiri foleni iishe lakini sasa nikimwambia mbona utaki kuongozana namimi pia...anasema yeye ataishi kwa bia???!!!!
sasa akagundua akumpa mshiko!!!,siyo mmoja wengi unakuwanaye kiurafiki kila mda unavyokwenda akiona aibu kukwambia unaona anakukimbia!!kiaina mbona wengine wanadai kabisa mshiko??wewe una bahati!!!
 
Hii ni kweli na majority wao ndio wapo hivyo. Mbaya zaidi unaweza kuwa na mwanamke ana kipato kukuzidi lakini hadi mambo madogodogo atataka wewe ndio uingie gharama! Hili ni tatizo!
 
Kuchunwa muhimu mjini.....Hivi unapoona mdada anavaa Gucci, Prada, Dolce & Gabanna na kadhalika na kadhalika unadhani kaviokota? Unataka uwe unamvua hizo nguo bure bure tu? Usione vinaelea, vimeundwa na vitu vizuri ni gharama!!
 
Hii ni kweli na majority wao ndio wapo hivyo. Mbaya zaidi unaweza kuwa na mwanamke ana kipato kukuzidi lakini hadi mambo madogodogo atataka wewe ndio uingie gharama! Hili ni tatizo!

Ndivyo walivyolelewa! Hukumbuki enzi za utoto dada yako akikosea kitu anaambiwa ''wewe kwa tabia hiyo hata kwa mumeo utaachika wewe''. Walilelewa kwa maandalizi ya kutegemea wanaume!
 
Kuchunwa muhimu mjini.....Hivi unapoona mdada anavaa Gucci, Prada, Dolce & Gabanna na kadhalika na kadhalika unadhani kaviokota? Unataka uwe unamvua hizo nguo bure bure tu? Usione vinaelea, vimeundwa na vitu vizuri ni gharama!!
Wewe umenena
 
nimecheka sana hii topiki pole kwa yanayokukuta huo ndio mji na kuonga ni sehemu ya maisha ya mwanaume wala usilie ndugu yangu jaribu kuangalia Jogoo akiwa anatafuta mbunye anakuta chakula anaita kuku aje ale halafu anaomba mzigo hiyo ni nature

tafuta mademu waliotulia kidogo huko maeneo yako utaokota mizoga bure siku utaombwa mpaka hela ya jeneza akipatwa na msiba
 
Hivi jamani ni utandawazi au maisha magumu???

Mimi sielewi nini kinatokea kwa wadada waleo sijui nimaendeleo??au njaa zanmani ulikuwa ukiwa na demu unaweza kupatakiburudisho zaidi ya x6 hivi unaona aibu unampa pesa!!! lakini wasiku hizi ukibahatika ajakudai sehemu ya tukio basi ujue next time uende na hela vinginevyo uhusiano wenu utakufa nakama utakuwa unampigia simu utaona haipokelewi!!!Hata kama anafanyakazi tabia nihilehile je nini wajameni???:fear::noidea:

Mkuu unajua siku hizi wengi wanawekeza kwenye miili yao, ukiitumia wanategemea return. Wapo wengine very hypocritical unaweza ona hawakudai kumbe wanakupigia hesabu ya mbali, muhimu ni kwamba make sure you get what you pay for, not more than what you pay for.
 
Duh! hapo kwenye red umenichekesha kweli
 
-Mwanamke hahongwi nyumba; anahongwa gari ili aendelee kukutegemea na asikuache

-Na ndio sababu wanawake wasomi, wenye maisha yao huwa hawaolewi kwani sio tegemezi
 
Mkuu, zamani hatukujua hata umuhimu wa rasilimali zetu ikiwemo madini..waliotuhamsha tukajua kuwa madini ni mali, ndio hao sasa tunawalalamikia kuwa wanatumalizia utajiri wetu. Baadhi ya wanawake wameharikiwa na kuwa wanaopenda sana pesa/mali kuliko mtu kutokana na tabia za baadhi ya wanaume ambao kuhonga kwao si jambo la ajabu..pengine hata akikutana nae kwa siku ya kwanza tu atataka kujua kama kwao anashida zozote, hata kama akiambiwa hakuna shida, atatoa tu fungu akisema .."hii shika mkononi tu utapata kwa kuitumia"". Sehemu kama hiyo ukipita mwanaume unayejali utu au mchumi usiejua kuhonga, utataabika sana ki mabaga fresh...utaona kama mwili wa huyo mwanaumke upo kibiashara zaidi...
 
Back
Top Bottom