Wanawake wapendelea zaidi kujifungua kwa kisu than natural way?

Jamani jamani, acheni kugeneralize hvyo.
Mimi ni recent victim wa kisu, nilipenda na niliamini ningejifungua kwa kawaida.
Wakati ulipowadia, nilipata uchungu zaidi ya siku nzima, nikawa weak, na presha ikaanza kubadilika. Huku ultrasound ilionyesha amniotic fluid ilikuwa hamna. So hakukuwa na jinsi zaidi ya kisu. I cried alot 4this, but nilisali kimoyomoyo nikisema Mapenzi yako yatimizwe. Its bad experience na haina raha yoyote ila mazingira wakati mwengine yanalazimu. So msitulaumu sana.
 
Naunga mkono hoja, kuna shemeji yangu wakati akiwa Preg. alikuwa anasifia njia ya kisu kuwa kule kwa bibi kunabaki natural, kweli siku ya kujifungua akapigwa kule TMS akapigwa kisu, mimba ya pili tena kisu. Nikahisi kwamba aliwaambia na Drs. wafanyie favor ya kisu, lakini hizo hisia zangu nimeziweka Out Of Reach of Children.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom