Sifa za wanawake/wadada wanene

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,108
115,829
1) Wepesi wa kusamehe.
2) Wanapenda ku please.
3) Wanatulia kwa mwanaume mmoja.
4) Wakipenda wanapenda kweli.
5) Wepesi wa kuomba msamaha.
6) Sio wabishi.
7) Wanajua kudeka na kudekeza.
8) Watiifu.
9) Hawaringi sana.
10) Wanasahau haraka.

Kwa ujumla ukitaka kupendwa na mwanamke chagua mwanamke mnene.
 
1.wepesi wa kusamehe..
2.wanapenda ku please
3.wanatulia kwa mwanaume mmoja
4.wakipenda wanapenda kweli..
5.wepesi wa kuomba msamaha
6.sio wabishi
7.wanajua kudeka na kudekeza
8.watiifu.
9.hawaringi sana.
10.wanasahau haraka.....

kwa ujumla ukitaka kupendwa na mwanamke
chagua mwanamke mnene......
dah!hapo tena bosi wangu,lol!
 
thanks god its friiiiiiiday....

natamani kilimokwanza bariiiiiiiiiiiiiiiiidiiiiiiiiiiiiiiiii inayofuka jasho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom