Wanawake wanavutiwa zaidi na Mwanamme mtanashati anayetumia manukato mazuri na madoido mengine
aisee wamefungua a new "Suit Warehouse" hapa sasa kuna promotion inaendelea na yule jamaa amesema kuwa "you gonna like it, I guarantee it" sasa nataka nipick up the offer. Tatizo ni kuwa marra nyingi suti nimekuwa nikiangalia rangi, jina n.k Lakini shemeji yenu kaja kaniambia "suti siyo suti tu kuna details zinaangaliwa". Sasa nimemuuliza aniambie kagoma kabisa kasema niende kuchagua au ataenda kunichagulia kwa sababu yeye kama mwanamke hata suti yangu ifanane na nyingine!
Ndio imebidi niulize - wanawake mnaangalia suti za namna gani za wanaume na hapa nazungumzia suti suti!
tunazungumzia suti - siyo mwanamme anavutiwa na mwanamme wa namna gani?
tunazungumzia suti - siyo mwanamme anavutiwa na mwanamme wa namna gani?
Kuna siku mimi nilivaa dark suit with white pinstripes na nilisifiwa sana na siku hiyo nilichukua namba kama tano hivi....lol
Sasa sijui yeye shemeji yetu kama anapenda patterns za namna hiyo ila kwa uzoefu wangu wadada huwa wanazipenda sana.
Heheheheeee mzee unataka kwenda Macy's kununua suti nini? Manake hii mida ya tax returns huwaga kuna mambo sana :lol:
aisee unatumia programu gani kufanya tax return? na mimi nahitaji tuxedo la mitoko!
TurboTax au H&R Block..
Nimekuelewa sasa Mzee.
What I look at, not in particular order, and not always all of these, but ikitokea I will note ni:
Of course hivi ni kwa watu wote, sijasema vya kumatch the shoes, the shirt, the tie etc...
- The fabric: Is it wool, linen, cashmere, wool+silk, etc...
- Does it have any special feature (pinstripes, appearing stchings etc)
- The collar: Is there any space between the nec and the collar? there shouldn't be, even when he moves his head
- Is there any plit around the buttons? if there is then it is too tight
- Can he move his arms comfortably? (scratch his left shoulder with his right hand)? if he can't it is too small
- Is if 'floating' around his body or does it fit him well? (zingatia point 4 nd 5 isije kua too small pia)
- Does it cover his butts? If not then it is too short
- When he raises his arms does it uncover his butts? if not then it's too long.
- Akiwa na vitu mfukoni inakaa kama inahang au inakua sawa tu?
- And the Nec Plus Ultra: Can I see a little 'tape' of his shirt sleeves kwenye mikono? (1 to 2 cm, not more, not less)
Mkuu vaa suti ikuvutie wewe, sio mwanamke. The rule of thumb: hata siku moja usinunue suti kwa ajili ya kumfurahisha mwanamke. Nilishawahi kuuliza wanawake wa hapa hapa JF kama walishawahi kutovutiwa na mwanaume aliyevaa suti iliyomkaa. Sikupata jibu. So, nunua na vaa suti inayokutosha kulingana na unapoenda.
Kumbuka kuvaa suti si lazima tuu kumvutia mwanamke. Otherwise, wanaume wote wanaovaa jeans wangekuwa hawawavutii wanawake. There is something more in a man which attract a woman than a suti. Pia suti inaweza kukufanya uonekane nadhifu na mwenye heshima ndani ya jamii kwa ujumla.
Tatizo ambalo huwa naliona ni kuvaa suti visivyo. That is the big big problem. Zipo sheria sheria ambazo zinatakiwa kuzifuatwa unapovaa suti. Kama hutafuata hizi sheria unaweza kujikuta upo matatani kwa kuvunja moja ya sheria hizo. Sheria zenyewe ambazo nimezinyakua mahali ni kama ifuatavyo. Unapovaa suti au tai hakikisha huvunji sheria hizi hapa chini:-
1. Ni marufuku kuvaa kandambili au malapa
2. Ni marufuku kuvaa soksi mbovu.
3. Ni marufuku kujisaidia uchochoroni.
4. Ni marufuku kupenga kamasi barabarani.
5. Ni marufuku kupanda daladala.
6. Ni marufuku kuendesha baiskeli au pikipiki.
7. Ni marufuku kucheka cheka hovyo.
8. Ni marufuku kuomba change dukani.
9. Ni marufuku kubeba mfuko wa plastiki maarufu kama rambo
10. Ni marufuku kuingia kwenye kibanda cha simu.
11. Ni marufuku kula magengeni.
12. Ni marufuku kuonekana unatafuna barabarani.
13. Ni marufuku kutembea na pesa za sarafu mifukoni mwako.
12. Ni marufuku kulia hata kama umeletewa taarifa ya msiba.
14. Ni marufuku kupiga miruzi.
15. Ni marufuku kuonekana unatoka mijasho kama unasukuma mkokoteni.
16. Ni marufuku kuongea kwa kelele.
17. Ni marufuku kunywa chai au kahawa kwa kutumia kikombe cha plastiki.
18. Ni marufuku kutembea kwa miguu.
19. Ni marufuku kukimbia.
20. Ni marufuku kunuka mdomo wala kikwapa hili kosa kubwa sana na hukumu yake mpaka mbinguni ipo.
21. Ni marufuku kusema uongo.
22. Ni marufuku kuonekana umekasirika unatakiwa uwe na uso uliokunjuka.
23. Ni marufuku kumchapa mtoto.
24. Ni marufuku kusababisha ubishi au mjadala uso na maana.
25. Ni marufuku kuvaa suti na lebal yake (hii nimeongezea)
Source: HABARI NA MATUKIO: ZIJUE SHERIA ZA UVAAJI WA TAI NA SUTI
Kama huwezi kuzifuata hizo sheria, stick with the jeans, which my favorite.
Nimekuelewa sasa Mzee.
What I look at, not in particular order, and not always all of these, but ikitokea I will note ni:
Of course hivi ni kwa watu wote, sijasema vya kumatch the shoes, the shirt, the tie etc...
- The fabric: Is it wool, linen, cashmere, wool+silk, etc...
- Does it have any special feature (pinstripes, appearing stchings etc)
- The collar: Is there any space between the nec and the collar? there shouldn't be, even when he moves his head
- Is there any plit around the buttons? if there is then it is too tight
- Can he move his arms comfortably? (scratch his left shoulder with his right hand)? if he can't it is too small
- Is if 'floating' around his body or does it fit him well? (zingatia point 4 nd 5 isije kua too small pia)
- Does it cover his butts? If not then it is too short
- When he raises his arms does it uncover his butts? if not then it's too long.
- Akiwa na vitu mfukoni inakaa kama inahang au inakua sawa tu?
- And the Nec Plus Ultra: Can I see a little 'tape' of his shirt sleeves kwenye mikono? (1 to 2 cm, not more, not less)
Mkuu vaa suti ikuvutie wewe, sio mwanamke. The rule of thumb: hata siku moja usinunue suti kwa ajili ya kumfurahisha mwanamke. Nilishawahi kuuliza wanawake wa hapa hapa JF kama walishawahi kutovutiwa na mwanaume aliyevaa suti iliyomkaa. Sikupata jibu. So, nunua na vaa suti inayokutosha kulingana na unapoenda.
Vaa suti ya linen, na ndani yake ni silk. It regulates your temperature.na hali hewa ya dar ya joto most of time
suti inakuwaje?