Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake/Wanaume mnaotafuta wachumba solution hi hapa.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by RGforever, Apr 4, 2011.

 1. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 5,597
  Likes Received: 1,050
  Trophy Points: 280
  Kuna watu wengi watafutao wachumba humu jf au mtandaoni kwa ujumla..nimeona bora niwape link hii hapa mjione wenyewe na msiangaike sana: TEMBELEA http://rogers.wen.ru/messages/smswachumba4.html
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 4,735
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Machangu waliozeeka wanapatikana hapa.
   
 3. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,588
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kuna wachumba mitandaoni jamani? labda kama unaenda kunywa kikombe cha babu ili sukari, BP, maini na figo visfail. Nawashauri tafuta mchumba but siyo wa hapa Jamii, dhw, au maraifiki utakufa kihoro.
   
 4. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #4
  Apr 4, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 5,597
  Likes Received: 1,050
  Trophy Points: 280
  Kwa wale ambao walikuwa wanatafuta Je? tena haipiti wiki thread kam mbili au tatu za natafuta mchumba! Inamaana wanaotafuta wanaimani wapo pia wenye nia kama yao!!! EBU ACHA KUKATISHA TAMAA WENZAKO.
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 35,475
  Likes Received: 12,066
  Trophy Points: 280
  wapi hapa jf??????????
   
 6. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #6
  Apr 4, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,360
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Me nahisi hata anae tafuta "mchumba" kwa njia ya mtandao kama hivi hajatulia,ni ukicheche tu na sio vinginevyo,..wote wameshindikana huko waliko wameona wasafishe nyota zao kwa kwenda mitandaoni duh
   
 7. f

  franktemu123 JF-Expert Member

  #7
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 388
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 45
  Hii ni soo! nimetembelea hiyo Website!! nikakutana na mdada anatafuta mchumba nikatwanga tukapanga kukutana duuh ile kuchek nakutana na Binamu yangu!! nikatoka nduki kabla hajanishtukia!! USIJARIBU
   
 8. Dena Amsi

  Dena Amsi JF-Expert Member

  #8
  Apr 4, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,132
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 160
  Never try this at home...............................
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Apr 4, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 35,475
  Likes Received: 12,066
  Trophy Points: 280
  nimeipenda hiyo singature hapo chini..
   
 10. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #10
  Apr 4, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,713
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  kuna njemba ilitafta mchumba kwenye mtandao flani halaf ikaambiwa na mdada iende morocco ili wakaonane laiv ilipofika mdada alikusanya vijeba, njemba ilinyang'anywa mpaka soksi halaf ikapangiwa skendo uhamiaji ikalazwa ndani kwa wiki 2, sasa hivi imekuwa mcha mungu kichizi baada ya hilo tukio.
   
 11. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #11
  Apr 5, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 17,511
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Daah
  Kwa kweli..
  tumuombe Invisible
  Afungue idara mpya
  Ya "watafutaji"
   
 12. Dena Amsi

  Dena Amsi JF-Expert Member

  #12
  Apr 5, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,132
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 160
  Uwapate wapi dear longolongo tupu
   
 13. Dena Amsi

  Dena Amsi JF-Expert Member

  #13
  Apr 5, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,132
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 160
  Sante sana Boss me love you dear!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  Apr 5, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,193
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Hivi ni kwamba kuna chuki dhidi ya watu ambao wapo single na wanaujua mtandao?Maana naona mawazo hasi tu juu yao..mbona wake na waume za watu wapo pia?Au nao ni wale wenye matatizo kwahiyo imeamulika hata wasionao humu hawajatulia?
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Apr 5, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,712
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Ahaaa ahaaaa Lizzy nashukuru kwa kuuliza hilo swali.
   
 16. Dena Amsi

  Dena Amsi JF-Expert Member

  #16
  Apr 5, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,132
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 160
   
 17. d

  digodigo Senior Member

  #17
  Apr 5, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mbona karibu yote ni midume halafu ni toka rock city,mby na zenj?
   
 18. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #18
  Apr 5, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,019
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145

  uende hapo ukafanye nini wakat unauamini ulimi wako
   
Loading...