Wanawake wanatangaza sehemu gani ya mwili wakati huu?

What rock have you been living under..? Nowadays there are so many artificial body-part enhancers ranging from booty pads, wonderbras, and all the way to silicone injections!

Comrade I must admit..am outdated in this BUT......c'mon you wanna say its common practice among our ladies....at least 'wabongo'

BUT the bigger issue here is....how have these two parts (B & B according to Gaijin) have come to dominate our center of attraction?
 
Huhhh! hivi hujiulizi mbona enzi hizi kila mtu anazo hizo B&B?

Kama sio za kuvaa na kuvua (zipo undergaments zenye pads for both Bs) au kafanyiwa ukarabati wa kienyeji au wa hospitali

Hiyo ya nguo zinazoongeza kuonekana kwa hivyo vitu Bongo zimejaa

B&B imepanda chart sasa kwa sababu, wanaume wamekuwa wazi zaidi kuwa wanavutiwa na hiyo, na akina dada wamekuwa wazi zaidi kwenye kuonyesha.
 
These days you can't put anything past anybody. And how commonplace (silicone injections and other cosmetic surgeries) is it among our ladies? From what I know they (bongo women) are now starting to catch up with the rest of the world. But as far as push-up bras and stuffing goes, they've been doing this for a while now.

BUT the bigger issue here is....how have these two parts (B & B according to Gaijin) have come to dominate our center of attraction?

That's just a phenomenon of nature.
 
Huhhh! hivi hujiulizi mbona enzi hizi kila mtu anazo hizo B&B?

Kama sio za kuvaa na kuvua (zipo undergaments zenye pads for both Bs) au kafanyiwa ukarabati wa kienyeji au wa hospitali

Hiyo ya nguo zinazoongeza kuonekana kwa hivyo vitu Bongo zimejaa

B&B imepanda chart sasa kwa sababu, wanaume wamekuwa wazi zaidi kuwa wanavutiwa na hiyo, na akina dada wamekuwa wazi zaidi kwenye kuonyesha.

hili G nadhani linahitaji uzi unajitegema...at least tupate sample ya wanaume wanaokiri kabisa kuwa wanavutiwa na the two Bs.....maana sikumbuki kama tulishawahi kulijadili hapa....ama kumbukumbu zangu zinanpotea?

Honestly, hivi mtu anayevaa hizo, and lets say mmeenda chumbani ukayaona hayo puu anayavua kweli patakalika si waweza kufikiri upo na jini humo?
 
Hahaha Kaizer! ati upo na jini!

Huyaoni yakitoka, yanakuwa yameshonewa ndani ya nguo. So akivua nguo na hapo labda mihemko ipo kibao, hata hujui kama mbona shape imebadilika yamekuwa malapa! lol

Hebu fungua uzi watu wajimwaye mwaje kueleza wakipendacho kwa akina dada (Ila kama nkumbuka ishawahi kujadiliwa kuhusu back side)
 
unfortunately G cku hizi am too busy (yaani nimeoa kweli si yu know)so sidhani kama naweza hata kufungua uzi mpya....

lakini NN ngabu kasema apo juu kuwa ni nature, najiuliza nature ya kuangalia sehemu mbili tu, na kwa nini siku hizi hasa...ni kuongezeka kwa utambuzi wa wanawake kuwa wanaume wanapenda zaidi B&B, au tastes za wanaume zimechange?

Kuna vitu kama sura kwa ujumla, miguu, mikono, kiuno, sijui kucha, kwen sura kuna macho, pua, masikio, meno nk.....lol
 
Hehehe hongera atiii :]]

Anyway mimi nilidhani hivyo viwili vinahusishwa zaidi na sex ndo maana mvuto kwake umeongezeka ikichangiwa na kuwa vilikuwa vi vitu vinavyofichwa fichwa. Si unajua kinachofichwa kinapofunuliwa habbar yake!
 
Huhhh! hivi hujiulizi mbona enzi hizi kila mtu anazo hizo B&B?

Kama sio za kuvaa na kuvua (zipo undergaments zenye pads for both Bs) au kafanyiwa ukarabati wa kienyeji au wa hospitali

Hiyo ya nguo zinazoongeza kuonekana kwa hivyo vitu Bongo zimejaa

B&B imepanda chart sasa kwa sababu, wanaume wamekuwa wazi zaidi kuwa wanavutiwa na hiyo, na akina dada wamekuwa wazi zaidi kwenye kuonyesha.

Dah haya maelezo yaniacha nakosa maswali ya kuuliza
 
Jana nilikuwa napitia kidogo kwenye akaunti yangu ya FB ambayo nimeifanya yatima siku hizi. Katika pita pita zangu nikagundua kitu kimoja, picha nyingi za wanawake zinazopostiwa siku hizi zinaonyesha sehemu za kifua (Matiti/Manyonyo....you name them) na nyingine zinaonyesha Makalio/Masaburi/ you name them.Nikapata tabu kidogo maana najua kulikuwa na wakati they were putting picha za sura, wakaja za nywele, wakaja za miguu na kadhalika. sasa nauliza tu jamani....... which part of their bodies so they promote siku hizi?

FB kule biashara matangazo, kuna jamaa angu anawamega kweli maduu wa FB
 
Nakumbuka wakati wa enzi fulani ilikuja style ya wanawake wote kuwa wembamba kama vijiti, but now they all want to have curves so kwasababu wanaume tunavutiwa na kile wanawake wanachoamua kukitangaza then we follow so kwa wale wasiokuwa nazo they definitely search for them. Na wakishazipata si lazima wawaonyeshe kama wanazo jamani?
 
Hehehe hongera atiii :]]

Anyway mimi nilidhani hivyo viwili vinahusishwa zaidi na sex ndo maana mvuto kwake umeongezeka ikichangiwa na kuwa vilikuwa vi vitu vinavyofichwa fichwa. Si unajua kinachofichwa kinapofunuliwa habbar yake!

Lol G kwani mtu akiwa na booty anaweza kulificha? si kama jembe la ng'ombe sijui?
 
Back
Top Bottom