Wanawake wanataka wenye...

si wataka kujua here i am. Bishanga mimi ni miongoni mwa wanawake wachache sana wanaopenda na wanaojua kufanya mchezo wa matusi. Ila tu ni mwanamke ambaye huwa nafanya na mtu aliye ujaza moyo wangu na ambaye aweza kunipa raha niitakayo wakati wa kucheza. so shombo la nje siliwezi mimi. .........siwez kuingia rum na mtu for an hour damn shit!.............. manake hutonitoa kiu so bora kipapa nimrudishie mwenye nacho bro.

niko radhi hata kuhonga kwa aujazaye moyo wangu ili tu tucheze kama siku hiyo hajiskii. Nikuulize swali ulishawah hongwa na mkeo weye ili mcheze since you married? But mm huwa nahonga labda kila siku ili tu nipigwe mpera.Nasiongelei eti kwasababu hakuna anijuaye bali ni ukweli na mwenyewe aweza thibitisha. so ma brother ukipata mke kama mimi utakonda aisee.

bishanga mchana nikishaanza kupokea vi meseji vya ' mme wangu leo wahi kurudi' nikifika nikakuta msosi niupendao unanisubiri mezani na pembeni kachupa ka dodoma presidential wine,nikiingia chumbani nikasikia harufu ya waridi...najua yes leo mama kayai anataka mechi......sasa kuhongwa tena basi labda huku ndo kuhongwa,,we watoa mihela kabisa?
 
basi hapo wahongwa pasi kujua. wanawake wajanja wacha kabisa network, unaitafuta toka asubuhi mnapoachana na hadi akirudi anakuta mambo supa kwanini mscheze? huwez kumpa mwenzi hela eti unamuhonga ila kuna muda na nyie wababa mnapigika kiaina basi miye mama nikichungulia wallet na kukuta ina bizinzezi kadi tu wafikiri nafanyaje? kama nina kakitu japo ka box moja si mbaya nakuwekea ili ujue huyu ni mke wala siyo mwanamke. upo hapo.
 
Mbaya zaidi hao wenye pesa wanawanyanyasa vibaya.
Naamini integrity ni zaidi ya pesa.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
mimi nasema kwa upande wangu,mambo ya hela siyafagilii.mbona uwezo wa kuzitafuta mwenyewe ninao,ni ku work hard tu.kipato ninachokipata nashukuru mungu,kwani maisha niliyokulia ilikuwa dhiki tupu,kula ndani ilikuwa ikitupiga chenga.namshukuru mama,kwa kila kitu.kuhusu suala la mapenzi,sijali mvuto naangalia tabia,uaminifu na uwe unajali,majisifu na dharau ya kumuona asiekuwa nacho kuwa sio mtu huwa sipendi. na moyo kama umependa.maybe chaguo langu ni uwe mrefu basi,maana na mimi twiga anasingiziwa
 
Mkuu Ukitaka kuelewa haya maswala inabidi urudi sana nyuma kihistoria kaka mkubwa!
Kwa sababu hii ni side effect ya ule mfumo wetu asisi (Its 'mfumo dume on backfire').
Mfumo Dume kama unavyoujua unahitaji wanawake wawe ma majukumu fulani ambayo unayajua...sasa Kuwa na uwezo kifedha, kiupeo, kiuongozi na kijamii kumzidi mwanamke ni sifa ya mume. Kwenye hii system lazima mwanamke ataridhia maombi ya aliyemzidi vitu vyote hivyo! Ndo maana haikushangazi ndoa nyingi wanawake ni wadogo kiumri kwa ulinganisho na waume zao (Hii ni kuwapa muda wanaume waweze kutangulia)...
Halafu mkuu kwani unashindwa kujiendeleza kielimu...Trust me ukiangalia vizuri walioishia darasa la saba wamependa
(Utasema wazazi hawakuwa na uwezo, kwani si umekua na kufanya kibarua? mitihani ya qt bei rahisi sana tu).
Now, kama umependa kuishia darasa la saba, kuna dhambi gani mwanamke akataka aliyeishia sekondari?

Mkuu kwanga tatizo sio kujiendeleza,ilafaham kujiendeleza kunahitaji hela vipi kama sina hela kwa sasa?je nitapata wapi wa kunipoza moyo?
 
Ukweli ni kwamba, wanawake wengi mimi included tunataka mwanaume ambaye anakupenda na he can take care of you, financially na kimawazo na kimtazamo; hivyo basi tungeprefer au tunadream kuwa awe na uwezo kukuzidi (kama wewe unao any), elimu/uelewa wa mambo kukuzidi n preferable hata akuzidi walau miaka 2.

Ukipata unaye mzidi hivyo vyote juu, hata kama unanpenda kiasi gani, kama uelewa wake mdogo ndoa huwa na shida sana. Nami nimeshashuhudia my friends ambao ndoa zimevunjika coz mwanaume hajiamini na kuamua kuwa physical just to prove yeye ndie man of the house.

I was in a sort of the same relationship, sikumzidi pesa, but elimu na mafanikio; siwezi rudia bora niwe peke yangu aisee!

Sikatai, kuna baadhi yetu tunakuwa na nyodo lkn ni wachache sana kuliko wanaume mnavyopenda kujiaminisha ktk story zenu kiasi kwamba mnaanza kujihami kwa ubabe usio na kichwa wala miguu.

Kuhitimisha nasema, wanawake hatupendi kudanganywa but tunahitaji mwanaume tunayeweza mtegemea!
U have said it all dear
 
abda nikuulize Eiyer kuna umuhimu gani kuoa mtu anayejua kufanya matusi halafu hana nidhamu wala upendo wa kweli? si kweli kwamba matus peke yake ndiyo yanayojenga nyumba ni zaid ya hapo n yote waweza yatengeneza bali tabia ya mtu ni ngumu sana. Na mimi nakuuliza swali hilohilo,wewe unadhani elimu na pesa inatosha?
 
Mkuu kwanga tatizo sio kujiendeleza,ilafaham kujiendeleza kunahitaji hela vipi kama sina hela kwa sasa?je nitapata wapi wa kunipoza moyo?
Mkuu Eiyer, we si unafikiri walivyoandika UTAKULA KWA JASHO walikuwa wanatania?
 
Last edited by a moderator:
Eiyer kwanza muamini MUNGU kuwa mwenza wako yupo mahala na kwa imani atatenda, pili na hii ni kubwa kwa mtazamo wangu shughulikia bikira yako itoke uwe expert at least! then jiendeleze kimasomo, its not too late, and it will never b late if u have a vision! third jitahidi kuwa CONFIDENT kwa yeyote utakayempata, usimuonyeshe kuwa despite the fact hujasoma, but still u can lead and secure her! ol the best, and utafanikiwa tu!

Usijali dada yangu najiamini sana na wala hilo sio tatizo kwangu.Inakuaje kama sina hela ya kujiendeleza?Unataka kuniambia sitapata mpenzi muda huu mpaka nisome?Jamani mambo gani haya?Maskini wataoa wapi na lini?
 
Nadhani ni mtazamo wako binafsi huo, wengi hawako hivyo. Nchi maskini kama zetu mabinti wanaangalia mwanaume aliyemzidi kipato, lakini has nothing to do with someone having true love.

Eiyer like this. . . . . . . . . . . .
 
si wataka kujua here i am. Bishanga mimi ni miongoni mwa wanawake wachache sana wanaopenda na wanaojua kufanya mchezo wa matusi. Ila tu ni mwanamke ambaye huwa nafanya na mtu aliye ujaza moyo wangu na ambaye aweza kunipa raha niitakayo wakati wa kucheza. so shombo la nje siliwezi mimi. .........siwez kuingia rum na mtu for an hour damn shit!.............. manake hutonitoa kiu so bora kipapa nimrudishie mwenye nacho bro.

niko radhi hata kuhonga kwa aujazaye moyo wangu ili tu tucheze kama siku hiyo hajiskii. Nikuulize swali ulishawah hongwa na mkeo weye ili mcheze since you married? But mm huwa nahonga labda kila siku ili tu nipigwe mpera.Nasiongelei eti kwasababu hakuna anijuaye bali ni ukweli na mwenyewe aweza thibitisha. so ma brother ukipata mke kama mimi utakonda aisee.

Kudadadeki. . . . . . Dada taratibu< Mmmmmmmmmmm!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
abda nikuulize Eiyer kuna umuhimu gani kuoa mtu anayejua kufanya matusi halafu hana nidhamu wala upendo wa kweli? si kweli kwamba matus peke yake ndiyo yanayojenga nyumba ni zaid ya hapo n yote waweza yatengeneza bali tabia ya mtu ni ngumu sana. Na mimi nakuuliza swali hilohilo,wewe unadhani elimu na pesa inatosha?
Eiyer wala hayo hayatoshi labda rudi nenda kasome ilipouliza nini raha ya ndoa nafikir utapata majibu mazuri sana. so ni package ya vitu vngi sana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom