Wanawake wanataka wenye...

Eiyer kwanza muamini MUNGU kuwa mwenza wako yupo mahala na kwa imani atatenda, pili na hii ni kubwa kwa mtazamo wangu shughulikia bikira yako itoke uwe expert at least! then jiendeleze kimasomo, its not too late, and it will never b late if u have a vision! third jitahidi kuwa CONFIDENT kwa yeyote utakayempata, usimuonyeshe kuwa despite the fact hujasoma, but still u can lead and secure her! ol the best, and utafanikiwa tu!
 
Last edited by a moderator:
Mimi mtarajiwa wangu ni wa darasa la saba, ila namuona kila wakati hajiamini sana na mara nyingi ananituhumu kuwa nitammwaga na kuchukua wasomi.
 
Eiyer mdogo wangu, wakati ule maisha hayajani-infletikia nilikubembeleza uende shule ukagoma.

Kiukweli mie siwezi kutoka na mtu wa std 7, hata kama ana hela kama kichaa kwa sababu najua atajisikia inferior kila wakati. Na siwezi kutoka na mtu mwenye hela nyingi sana kwa sababu nitakuwa sensitive akichelewa miadi tu nitaona ananidharau. Staki kusikia 'baby, naomba tusitoke/nisije kukuona, kuna business deal imejitokeza....', nita-fume japo ingekuwa ni dili la mzigo wa vitunguu ningekuwa fresh.

Ila kaka, kwani hata wewe si una vigezo vyako kabla ya kumtokea binti? Waache na wao waweke vigezo. Mi naulizaga cv na bank statement za miezi 3 upfront kabla hata ya utani wa kimapenzi,lol
King kwenye blue hapo,yani ina maana bishanga umenipiga chini ab initio? basi ngoja nikayagawe mahela yangu msikitini/kanisani ili yapungue!
 
Eiyer mdogo wangu, wakati ule maisha hayajani-infletikia nilikubembeleza uende shule ukagoma.

Kiukweli mie siwezi kutoka na mtu wa std 7, hata kama ana hela kama kichaa kwa sababu najua atajisikia inferior kila wakati. Na siwezi kutoka na mtu mwenye hela nyingi sana kwa sababu nitakuwa sensitive akichelewa miadi tu nitaona ananidharau. Staki kusikia 'baby, naomba tusitoke/nisije kukuona, kuna business deal imejitokeza....', nita-fume japo ingekuwa ni dili la mzigo wa vitunguu ningekuwa fresh.

Ila kaka, kwani hata wewe si una vigezo vyako kabla ya kumtokea binti? Waache na wao waweke vigezo. Mi naulizaga cv na bank statement za miezi 3 upfront kabla hata ya utani wa kimapenzi,lol

Jamani King'asti :A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose:
 
Last edited by a moderator:



Pumbaf kabisa tena huwa ni mtu wa kujipa raha sana outing kama akitaka twende akiona vipi abaki mm naenda na nilaazima every weekend nitoke na kids na sik moja moja nimpigie tukae japo one for the road.

mpendwa gfsowin,kwenye hako ka red ,katika kujipa raha raha mwenyewe ,hizo raha huwa zinakwenda mpaka kwenye mahanjam pembeni.....just curious.....
 
Mkuu Ukitaka kuelewa haya maswala inabidi urudi sana nyuma kihistoria kaka mkubwa!
Kwa sababu hii ni side effect ya ule mfumo wetu asisi (Its 'mfumo dume on backfire').
Mfumo Dume kama unavyoujua unahitaji wanawake wawe ma majukumu fulani ambayo unayajua...sasa Kuwa na uwezo kifedha, kiupeo, kiuongozi na kijamii kumzidi mwanamke ni sifa ya mume. Kwenye hii system lazima mwanamke ataridhia maombi ya aliyemzidi vitu vyote hivyo! Ndo maana haikushangazi ndoa nyingi wanawake ni wadogo kiumri kwa ulinganisho na waume zao (Hii ni kuwapa muda wanaume waweze kutangulia)...
Halafu mkuu kwani unashindwa kujiendeleza kielimu...Trust me ukiangalia vizuri walioishia darasa la saba wamependa
(Utasema wazazi hawakuwa na uwezo, kwani si umekua na kufanya kibarua? mitihani ya qt bei rahisi sana tu).
Now, kama umependa kuishia darasa la saba, kuna dhambi gani mwanamke akataka aliyeishia sekondari?

Mkuu PetCash hivi unaamini Eiyer ni P7 kweli,with such a writing style? no way!
 
Last edited by a moderator:
labda nikuulize Eiyer kuna umuhimu gani kuoa mtu anayejua kufanya matusi halafu hana nidhamu wala upendo wa kweli? si kweli kwamba matus peke yake ndiyo yanayojenga nyumba ni zaid ya hapo n yote waweza yatengeneza bali tabia ya mtu ni ngumu sana.
kufanya matusi ndo ni tena @gfsowin? kwenye ndoa watu wanafanya matusi kweli?
 
ngoja nikwambie Bishanga Eiyer is not std 7 as one can think or lives in such life as one can imagine but he is trying to communicate to us just to reflect the need of such class of people to me he is good at presenting his views. Bravo Eiyer
 
Last edited by a moderator:
ngoja nikwambie Bishanga Eiyer is not std 7 as one can think or lives in such life as one can imagine but he is trying to communicate to us just to reflect the need of such class of people to me he is good at presenting his views. Bravo Eiyer

Eiyer na ubahili wako wa kutoa ma 'like' ole wako usimpige gfsonwin 'like' kwa mchango wake hapo juu.
 
Last edited by a moderator:
Ukweli ni kwamba, wanawake wengi mimi included tunataka mwanaume ambaye anakupenda na he can take care of you, financially na kimawazo na kimtazamo; hivyo basi tungeprefer au tunadream kuwa awe na uwezo kukuzidi (kama wewe unao any), elimu/uelewa wa mambo kukuzidi n preferable hata akuzidi walau miaka 2.

Ukipata unaye mzidi hivyo vyote juu, hata kama unanpenda kiasi gani, kama uelewa wake mdogo ndoa huwa na shida sana. Nami nimeshashuhudia my friends ambao ndoa zimevunjika coz mwanaume hajiamini na kuamua kuwa physical just to prove yeye ndie man of the house.

I was in a sort of the same relationship, sikumzidi pesa, but elimu na mafanikio; siwezi rudia bora niwe peke yangu aisee!

Sikatai, kuna baadhi yetu tunakuwa na nyodo lkn ni wachache sana kuliko wanaume mnavyopenda kujiaminisha ktk story zenu kiasi kwamba mnaanza kujihami kwa ubabe usio na kichwa wala miguu.

Kuhitimisha nasema, wanawake hatupendi kudanganywa but tunahitaji mwanaume tunayeweza mtegemea!
Nadhani ni mtazamo wako binafsi huo, wengi hawako hivyo. Nchi maskini kama zetu mabinti wanaangalia mwanaume aliyemzidi kipato, lakini has nothing to do with someone having true love.
 
Ni adimu kuwa na mapenzi ya kweli, lakini panapokuwa na mapenzi ya kweli hakuna kitakachobadilisha.
 
Jamaa ana inferiority complex, mimi sina pesa na elimu yangu ya kawaida lakini wadada wote niliowahi kuwa nao kwenye relationship niliweza kuwaweka sawa licha ya elimu zao na pesa zao! Niko well informed na ni mtu mwenye mtizamo mpana, najiamini na ninaitumia vyema nafasi yangu kama mwanaume. Don't stretch yourself, just do simple things to convince your girl......usijiingize kwenye gharama za kijinga eti ili mwanamke akukubali.
gfsonwin mkianzia wote chini, hiyo ni tofauti; tena mara nyingi mkija kufanikiwa wengi wa wanaume husahau mlipotoka na kutafuta vimodel kwamba ndio hadhi yao at that moment.

Lkn mwanamke akiwa juu, chances kubwa sana ya ndoa kuwa na matatizo. Too bad kila mtu anahitaji mapenzi lkn isingekuwa hivyo, kuliko kugamble looking for an 1 understanding man among 10, bora kuwa mwenyewe!
 
Last edited by a moderator:
mpendwa gfsowin,kwenye hako ka red ,katika kujipa raha raha mwenyewe ,hizo raha huwa zinakwenda mpaka kwenye mahanjam pembeni.....just curious.....

si wataka kujua here i am. Bishanga mimi ni miongoni mwa wanawake wachache sana wanaopenda na wanaojua kufanya mchezo wa matusi. Ila tu ni mwanamke ambaye huwa nafanya na mtu aliye ujaza moyo wangu na ambaye aweza kunipa raha niitakayo wakati wa kucheza. so shombo la nje siliwezi mimi. .........siwez kuingia rum na mtu for an hour damn shit!.............. manake hutonitoa kiu so bora kipapa nimrudishie mwenye nacho bro.

niko radhi hata kuhonga kwa aujazaye moyo wangu ili tu tucheze kama siku hiyo hajiskii. Nikuulize swali ulishawah hongwa na mkeo weye ili mcheze since you married? But mm huwa nahonga labda kila siku ili tu nipigwe mpera.Nasiongelei eti kwasababu hakuna anijuaye bali ni ukweli na mwenyewe aweza thibitisha. so ma brother ukipata mke kama mimi utakonda aisee.
 
Last edited by a moderator:
Basi angalau aonekane ni hard worker hapo mbeleni future itakubali tu kwa ushirikiano wa watu wawili Eiyer mie napita tu hapa Ingawa si wote wako kama unavyodhani....:A S-rose:
 
Kumbe wewe darasa la saba hee!!lakini unaweza ukampata mtu mwenye upendo wa dhati na asiangalie elimu.Sisi enzi zetu ilikuwa haijalishi kwa sababu darasa la saba ilikuwa poa tu unamkontrol unavyotaka na pia unajaribu kumwendeleza .Mbona elimu ni ela yako tu.Pia wasichana wajue umaskini si kilema ni hali tu na unaweza kumwondoka mtu kama kuna juhudi kwani tumeshuhudia matajiri wengi tu hawakusoma ni determination tu na juhudi ya kazi huku ukidhamini unachokifanya
 
Back
Top Bottom