Wanawake wanapenda kutangaza shida

hapo imeeleweka sasa, ile dizaini mama mgonjwa nahitajika cjui shs ngapi za hosp, cjui nn na nn hapo mna wiki mbili tu za mahusiano lakini umesushiwa matatizo debe, inabidi tu mtu ujiulize kama ckutokea ngemweleza nani haya matatizo au angeyatatua vipi?

Sikia story hii ya ukweli:

Kaka yangu (mtoto wa mama mkubwa) alikuja Dar miaka kadhaa iliyopita kufuatilia malipo ya marekebisho ya mishahara baada ya kupandishwa cheo. Akakutana na mdada mmoja akiiishi au akija jirani na kwetu (sina uhakika ila nilikuwa namfahamu kwa sura). Brother akadondokea hapo. Siku ya kwanza kabisa, mdada akadodosa akajua sababu ya "wakuja" huyu kuwepo Dar - btw Kiswahili cha kwetu kinajulikana tu - na akaanza ukaribu wa ajabu. Brother akawa ananyweshwa bia na kula nyama, akitaka kulipa bibie anasema "acha tu nitalipa, wewe ni mgeni wetu. Kwani nikija huko kwenu nitalazimika kujilipia takrima?"

Siku brother alipopata pesa yake, akamnunulia mwali kijizawadi, lakini alipofika mahali mdada alipokuwa anapaita ni kwake akamkuta analia: "Sijui nikwamie vipi, mama yangu anaumwa sana Morogoro. Hivi wananisubiri mimi tu na sijui kama nitamkuta yu hai". Brother akatoa laki - naongelea laki ya 1995. Jioni ya siku ileile tupo mitaa ya Msisiri, tunamuona mtu mwenye mama mgonjwa! Hakuonekana tena mitaa ya kwetu kwa siku kadhaa.

The moral of story: Ukianza kuliliwa shida wewe jua kinachoendelea. Huhitaji kuchorewa picha - hata kama hujui kusoma/kuandika.
 
Rafiki uliingizwa mjini pole sana halafu wewe ni wa bara eee! huwa mnahonga tu haijalishi nini
 
Ukweli ni kwamba wanawake wengi bongo ni wanyonyaji linapokuja swala la mapenzi, hivyo akili mkichwa!
 
Rafiki uliingizwa mjini pole sana halafu wewe ni wa bara eee! huwa mnahonga tu haijalishi nini

Sio mimi niliehonga bibie. Mwaka huo hata nauli ya kwenda chuo nikipewa mbona - ya kuhonga ningeipata wapi! Tena umenikumbusha, pasaka ya mwaka ule jioni nilikwenda sinema (nimesahau jina ila karibu na Peacock Hotel), kiti nichokaa alikaa mdada mmoja (about 10 years my senior, ila mzuri kweli kweli). Tulipotoka, akaniambia, "Una hela ya mboga angalau elfu tano nikukaribishe kwangu? Hakuna haja ya kupoteza pesa Guest". Baada ya kununua tiketi nilibakiwa na elfu tatu tu, kwa hiyo nikatoka nduki. Ila nilikuwa majaribuni.

Labda unituhumu kwa sasa hivi.
 
Mie nikiwa nayo nampa na yeye pia kusaidiana ni part ya mapenzi japo msichana unakuta unasaidiwa sana kutokana na nature
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom