Wanawake wanapenda kudanganywa au kuambiwa ukweli?

huo ukweli anasema nani?? kwani wao wanawake hawawezi kukwambia wewe huo ukweli?? kwann wewe tu ndiyo uone wasema ukweli huo uusemao?? y
wadau ni kitu ambacho nimekiona kuwa baadhi ya wanawake hawapendi ukweli mfano mnapoaanza mahusiano ukaona hyu hatutafika mbali ukimwambia tuachane kwa kheri kwani miye na wewe hatuendani hapo badaye tunaweza kuja umizana miiyo tuwe marafiki tu hawataki haya pale unapomwambia sina pesa sasa hawamini kabisa na mengine mengi mengi tu ila mdanganye sasa du utapenda atakupenda sana
 
Log in. Hurka ya mtu na sio wanawake wenye hiyo tabia, hata kuna baadhi ya wanaume bila kuwa danganya hawa elewi kitu.
 
Nidange danganye tuuuuuuuuuuu Ukiniambia ukweli Roho itaniumaaaa! * 2

Ujue kuna UKWELI na UHUNI!!!!!!!!!

Mfano, Demu umemfukuziaaa wee, kukubalia kidogo umeonjaaa tu baaaaaaaaaass hutaki tena! Ndo wajifanya kusema ukweli kuwa mbele hamtowezana! Huo ndo UHUNI WENYEWE!!!!!! Hukuwa na uhakika na malengo yako toka mwanzo!
 
Nimegundua wanawake wengi hupenda kuongopewa hata kwa vitu ambavyo havihitaji kudanganywa.. Na hili limenitokea kwa % kubwa sana wengi nimekua nikiwaongopea ndipo upewa thaman ktk mapenzi. Ila kuna wakati nachoka na haya maisha nahitaji mtu sahihi ambaye atastahimili ukweli ktk maisha kwani uongo huwa hauna faida japo sometimes huwa una faida ila kwa %ndogo... Na hata ukimuaproach kwa kuweka wazi baadhi ya mambo yako imekua ni km kumkimbiza mtoto wa kike...mpe sound za uongo sasa lazima anase.. Swali linakuja Je! niendelee kuwa muongo ktk mapenzi au nisimame na ukweli niendelee kuweweseka na mapenzi?
 
Kuna vitu vingine hata siyo vya kuuliza wakati jibu unalo mwenyewe kabla haujauliza

Mkuu fata moyo wako,ukiamua kuwa muongo uwe tena uongoze chumvi kwa sanaaaa,ili uendelee kuwapata waongo wenzio

Ukiamua kuwa mkweli unaweza pia

Chaguo ni lako.
 
Mkuu imebidi nicheke tu aseee hivi ndivyo mlivyounbwa au ni basi tu hivi hata ngozi za akina trump ziko hivi hivi km za huku kwetu africa?
 
Sema wanawake tunatofautiana mkuu mi ukinidanganya najuaaaa afu nabaki nakuchora tu

Bila mwenyewe kujua

Wengine wanapenda kudanganywa sababu,utamueleza ukweli baby nakupenda ila ndo naanza maisha,unampeleka gheto hata godoro huna mnalala kwenye mkeka

Mwisho unakuja kufanikiwa unamsahau uloanza naye maisha,unabadili mienendo sasa wanawake wa aina hiyo wanaona bora tu umdanganye usimpeleke gheto

Mpeleke hotel mtoto ale maisha kwa kahela kako ka mkopo safii,huo hata kama uongo ataridhika nao tu
 
Wanawake ukiwaambia ukweli wanakuona hufai

Imefika hatua nimekua addicted na hii hali yaan ukwel kwangu umekua mama mkwe siku hizi.... ila natamani ifike mahali hii situation ikatike wanatakiwa wabadilike watuonee huruma watoto wa wanawake wenzao maana tunakua zaid ya bongo movie sasa
 
Sema wanawake tunatofautiana mkuu mi ukinidanganya najuaaaa afu nabaki nakuchora tu

Bila mwenyewe kujua

Wengine wanapenda kudanganywa sababu,utamueleza ukweli baby nakupenda ila ndo naanza maisha,unampeleka gheto hata godoro huna mnalala kwenye mkeka

Mwisho unakuja kufanikiwa unamsahau uloanza naye maisha,unabadili mienendo sasa wanawake wa aina hiyo wanaona bora tu umdanganye usimpeleke gheto

Mpeleke hotel mtoto ale maisha kwa kahela kako ka mkopo safii,huo hata kama uongo ataridhika nao tu

Unachosema ni kweli kabisa tunaogopa hata kuwapeleka maeneo husika kuhofia movie litaisha vibaya tunajikuta tunajitutumua kwa kupretend kisa movie liende sawa na uongo.... aseee mfike mahali mtuonee huruma jamani mkuu bora ww unapenda ukwel ila najua kuna sehem lazima unashikwa tu kwa uongo coz ndio hulka yenu
 
Back
Top Bottom