Wanawake wanaotoka nje ya ndoa wana dharau

Of course wana dharau na hata wanaume wanaotoka nje ya ndoa na hao wanaume wanatembea na hao wanawake walioko kwenye ndoa nao wana dharau vile vile!
 
Inashangaza sana, wanaume tukitoka nje ya ndoa huwa tunarudi na nidhamu tu na zawadi kedekede nyumbani na malavidavi ya kutosha kwa mama watoto. Lakini wao wakitiwa nje basi nyodo mtindo mmoja ndani, kwanini lakini???

wewe ukirudu na mizawadi ni kuwa unamhonga ili afumbie macho dhuluma uliyomfanzia............................lakini yeye akirudi anakuwa kafumbua macho na kugundua huna maana kwa hiyo anakubeza vilivyo...........................yote ni sawa tu...........................hakuma mshindi hapo kwani mmoja ni mnafiki na mwingine ni mkweli kiaina hivi
 
Anaringia alichofanywa huko kwani alikikosa kwako, kaka mwizi lazima awe fundi
True. Niliwahi kuishi maeneo ya kinondoni; wake za watu wanafanywa kitu mbaya sana hata kutaja nashindwa; na akishazoea basi - na ndani hawezi kumpatia mumewe!
 
Naunga mkono tena wengi wa hao wanawake wanawalaza waume zao mzungu wa nne kama siyo vyumba tofauti.
 
zione nyumba zinafunikwa mapazia yanayojiri humo ndani ni siri
hatawanume hutokaje ya ndoa zao au hujalijua nahili
 
Yapo mengi ila haya mawili yanachukua nafasi ya juu. Kutothaminiwa na mume na hivyo mume kutomjali mkewe kwa lolote lile ikiwemo kumuonyesha mapenzi. Kutoridhishwa na tendo la ndoa kwa mfano hapa JF tumeona warembo waliomo ndani ya ndoa wakilalama "Mume wangu hanigusi kabisa huu mwezi wa tatu sasa, huu mwezi wa sita sasa. Ndoa yetu haina tatizo lolote wote ni wacha Mungu tuna kipato kizuri hatuna ugomvi wowote ule na tunaelewana sana ila hili linaanza kunitia wasiwasi nawaombeni ushauri."
 
Ndoa ni zaidi ya boyfriend na girlfriend, ukiwa kwenye ndoa hata mata.ko ya wife yako yalingane na tembo wewe ipo siku unawezayaona kama ni ya kasungura
 
sababu zinazowatoa wanaume ndo hizo hizo na wanawake...waza zinazokutoa wewe ndo ujue na mkeo hizo hizo
 
Back
Top Bottom