Wanawake wanaotoka nje ya ndoa wana dharau

Sija'ai ona mwizi anajisifu,lkn ctashangaa cku ukija apa kuomba ushauri baada ya kubabwa..mi cmo,ctaki ushaidi
 
Sija'ai ona mwizi anajisifu,lkn ctashangaa cku ukija apa kuomba ushauri baada ya kubabwa..mi cmo,ctaki ushaidi
I dont thionk kama atataja jina la mtu,,, watu wana wasiwasi sana hapa. Na kweli akitaja tunaweza kushuhudia maajabu
 
Sijatendwa mkuu,, mimi ndo nawamega wake za watu kinoumer ndo maana najua. Yaani hata akipigiwa simu tu na mumewe wakati nakula mzigo,, kwanza anatoa msonyo wa kufa mtu kwamba mshikaji anasumbua, na hapo kaka nitapewa kila kitu kama sina akili nzuri
<br />
<br />
kwa hyo we unaona ni sifa mkuu?
 
]heheheeeee,, hapana aiseee[/B]. Mmoja kaniomba kabisa nizae naye!!! sasa namwambia, wewe mumeo mwalabu nimye mbantu wa ukweli na mbegu yangu kali,, huogopi kuachwa? anasema hajali,, sasa hapo ndipo ninaposhangaaa kabisa. Mbona mimi nikirudi kwa mama watoto nina adabu, mpole sana. Kama siku hiyo nje nimetumia say 100,000/=, yaani hotel, vinywaji,chakula na yeye nimtoe,,, basi kwa hasira nakwenda kufanya manunuzi ya nyumbani double the amount
We musharaf kicheko gani hicho cha mtoto wa kiume mbona 'umul shaka'...mbona watuzalilisha yaani unatukanyagia? afu unatamba hadharani kabisaaa?...utakuwa na matatizo wewe si bure..aidha hujafundishwa madhara ya hicho ukisemacho....to be invisible si hoja...yaani unye pembeni choo cha stand kisa hakuna anayekuona?...afu hiyo laki si mngejichanga we na mkeo mtoke keko mwanga mabondeni mlikopanga walau mkajenge mbagala au ukamnunulia mama yako kaniki au baba yako walao kashati..ndugu usijekuta mama naye ana mkaanga viazi wake na anamhonga hizo 'double the amount' unazopeleka home..
 
Hapo ni kaazi kweli kweli, kwani wanaoibiwa bwana au Bibi huwa wanajua?
 
Sijatendwa mkuu,, mimi ndo nawamega wake za watu kinoumer ndo maana najua. Yaani hata akipigiwa simu tu na mumewe wakati nakula mzigo,, kwanza anatoa msonyo wa kufa mtu kwamba mshikaji anasumbua, na hapo kaka nitapewa kila kitu kama sina akili nzuri

Na wa kwako naye anagongwa kinoumer! Ukiona mwanaume mkware sana chances ni kuwa mkewe naye anagongwa - wanaume wenyewe wanatumia hiyo advantage kuwatongozea wake za watu na hata kuwatokea na ushahidi mkali! OGOPENI KUWASILITI WENZENU.
 
Sijatendwa mkuu,, mimi ndo nawamega wake za watu kinoumer ndo maana najua. Yaani hata akipigiwa simu tu na mumewe wakati nakula mzigo,, kwanza anatoa msonyo wa kufa mtu kwamba mshikaji anasumbua, na hapo kaka nitapewa kila kitu kama sina akili nzuri
Sidhani kama ni sifa nzuri, japo mi binafsi sijaoa, najaribu kupata picha unamzini mke wangu! Acha iyo tabia mwamba tulia na wako, kisha wakutafunie ndio uone raha yake
 
wanawake wana dharau kuliko mwanaume anayediriki kutembea na housegirl
wanawake wanadharau kuliko mwanaume anayetembea na binti wa nyumba ya jirani
wanawake wanadharau kuliko mwanaume anayetembea na shemeji yake
wanawake wanadhadhau kuliko mwanaume anayetembe na shosti wa mkewe
wanawake wanadharau kuliko mwanaume anayezaa na mwanamke mwingine ilhali ameoa na kuleta mtoto kwa mkewe?
wanawake wanadharau kuliko mwanaume anayediriki kuleta small house yake nyumbani
wanawake wanadharau kuliko mwanaume anayediriki kulala nje?
wanawake wanadharau kuliko mwanaume anayethubutu kumpiga mkewe pale mkewe anapomfumania na hawara?
wanawake wanadharau kuliko mwanaume anayediriki kupokea simu za hawara zake mbele ya mkewe?
KWELI WANAWAKE WANADHARAU ACHENI JAMANI DADA ZETU......
 
heheheeeee,, hapana aiseee. Mmoja kaniomba kabisa nizae naye!!! sasa namwambia, wewe mumeo mwalabu nimye mbantu wa ukweli na mbegu yangu kali,, huogopi kuachwa? anasema hajali,, sasa hapo ndipo ninaposhangaaa kabisa. Mbona mimi nikirudi kwa mama watoto nina adabu, mpole sana. Kama siku hiyo nje nimetumia say 100,000/=, yaani hotel, vinywaji,chakula na yeye nimtoe,,, basi kwa hasira nakwenda kufanya manunuzi ya nyumbani double the amount

Waarabu wana mchezo mbaya, angalia usije kufanya kitu mbaya. By the way, ukiona wewe unatafuna wake za watu, basi ujue na mkeo naye hivyo hivyo analiwa nje. Na akiwa na hao wanaume wengine pia huwa anaongea maneno matamu matamu kama hayo hayo. Na akirudi nyumbani kwako heshima juu....!!
 
Kama mkeo ana guts za kutoka nje nawewe mumewe ukajua kabisa kua

anafanya hivo na ukamezea...
Kuna kitu gani cha kukuheshimia hapo??

AshaDii...unatakiwa ufanyaje? Umpige? Umuache?...mara nyingi mnaongea na mnasameheana, sa hapo kosa lako nini mpaka usiheshimike tena?
 
Hebu jiulize kwamba hapa JF kwa mimi kusema ukweli kabisa kwamba nagonga sana wake za watu.....what is the worst case scenario? Mtaani naweza kuuawa niki admit hill,, lakini hapa ni cyber space tunayoongea ni ya kweli na hakuna wa kutufanya kitu

Kijana Musharaf, you really think you are invisible!! hebu fikiria foot prints unazoacha kwenye PC etc.. my friend si kweli unavyofikiria ni rahisi tu kukukamata. Usijisifie uovu.
 
Sijatendwa mkuu,, mimi ndo nawamega wake za watu kinoumer ndo maana najua. Yaani hata akipigiwa simu tu na mumewe wakati nakula mzigo,, kwanza anatoa msonyo wa kufa mtu kwamba mshikaji anasumbua, na hapo kaka nitapewa kila kitu kama sina akili nzuri
Sifa za kijinga
MUOSHA, HUOSHWA
 
Mimi nagonga sana wake za watu ndo maana najua ninachoongea. Yaani akija kwangu atamkandia mumewe kishenzi,, oooh jamaa leo nikirudi atakuwa kanuna huyo!! mara oohh jamaa najua leo atataka kupekua simu yangu na makandokando mengi tu

Endeleza matambo yako hapo siku unagongwa weye ndio utaelewa somo........na mkeo kugongwa kwa sana/madharau ni halali yako kutokana na tabia yako
 
Back
Top Bottom