Wanawake wanaotoka nje ya ndoa wana dharau

Musharaf

Senior Member
Aug 1, 2011
179
55
Inashangaza sana, wanaume tukitoka nje ya ndoa huwa tunarudi na nidhamu tu na zawadi kedekede nyumbani na malavidavi ya kutosha kwa mama watoto. Lakini wao wakitiwa nje basi nyodo mtindo mmoja ndani, kwanini lakini???

Kama mkeo ana guts za kutoka nje nawewe mumewe ukajua kabisa kua

anafanya hivo na ukamezea... Kuna kitu gani cha kukuheshimia hapo??

hapo nakuunga mkono, yaani kabisa anajua kuwa wife anaibia nje then anataka aje na heshima! Amuheshimu vipi wakati ashajua kule kapewa vitamu zaidi yake?
kwanza kwa nini mtoke nje ya ndoa zenu?

Kama mkeo ana guts za kutoka nje nawewe mumewe ukajua kabisa kua

anafanya hivo na ukamezea... Kuna kitu gani cha kukuheshimia hapo??
Mimi nagonga sana wake za watu ndo maana najua ninachoongea. Yaani akija kwangu atamkandia mumewe kishenzi,, oooh jamaa leo nikirudi atakuwa kanuna huyo!! mara oohh jamaa najua leo atataka kupekua simu yangu na makandokando mengi tu

Karibu Jamvini mkuu umetendwa nini? Pole!
Sijatendwa mkuu,, mimi ndo nawamega wake za watu kinoumer ndo maana najua. Yaani hata akipigiwa simu tu na mumewe wakati nakula mzigo,, kwanza anatoa msonyo wa kufa mtu kwamba mshikaji anasumbua, na hapo kaka nitapewa kila kitu kama sina akili nzuri

Umesema kweli mkuu ila duh hapa utaipata! yaani unatangaza kwenye kadamnasi unavyofisadi ndoa za wenzio?!

hapo nakuunga mkono, yaani kabisa anajua kuwa wife anaibia nje then anataka aje na heshima! Amuheshimu vipi wakati ashajua kule kapewa vitamu zaidi yake?
kwanza kwa nini mtoke nje ya ndoa zenu?

Hapo sasa...

Mimi nagonga sana wake za watu ndo maana najua ninachoongea. Yaani akija kwangu atamkandia mumewe kishenzi,, oooh jamaa leo nikirudi atakuwa kanuna huyo!! mara oohh jamaa najua leo atataka kupekua simu yangu na makandokando mengi tu

Usiamin kitu aongeacho mtu kabla tu/wakati/baada tu ya kufanya ngono...

Alafua hapa tunazungumzia mwanamke kumdharau mumewe baada ya kutoka

sio kwa hawara wake....

From my experience ukitembea na wake za watu sana huwezi hata
ku admit kwa watu let alone kujisifia......mbele za watu.......

Unless sio kweli.............
Mkuu hapa unachoongelea wewe,,,ni ya huko kwenye real life,, lakini hapa JF tunaingia na ID tofauti ili kuweka ukweli ote kwa usalama wetu. Wewe unadhani mtaani utajitaja?? Wewe mwenyewe hapa umetuwekea picha ya Denzel na si wewe mwenyewe original. Hapa tunaongea ukweli kabisaaa, na kupata maoni ya watu wengine

Thank you....
Hebu jiulize kwamba hapa JF kwa mimi kusema ukweli kabisa kwamba nagonga sana wake za watu.....what is the worst case scenario? Mtaani naweza kuuawa niki admit hill,, lakini hapa ni cyber space tunayoongea ni ya kweli na hakuna wa kutufanya kitu

mkuu hapa unachoongelea wewe,,,ni ya huko kwenye real life,, lakini hapa jf tunaingia na id tofauti ili kuweka ukweli ote kwa usalama wetu. Wewe unadhani mtaani utajitaja?? Wewe mwenyewe hapa umetuwekea picha ya denzel na si wewe mwenyewe original. Hapa tunaongea ukweli kabisaaa, na kupata maoni ya watu wengine

kuna wake za watu hapa
na waume zao pia wapo hapa.....
Be carefull......
Unaweza jikuta umechokoza watu bila kujua....

Back
Top Bottom