Wanawake wanaotaka kuolewa humu jf hawapo serious...

chitanda.nyoka

Senior Member
May 3, 2012
193
43
Humu jf nimegundua kitu kua wengi wanaoandika kua wanatafuta wachumba mume/mke huwa wanaandika tu kujifurahisha coz nna kaka yangu serious anataka kuoa huwa anaingia jf hila hawezi ku post yy hajajiunga akasoma post kuna mdada anatafuta mume vigezo alivyotaja anavyo vyote akaniomba ni pm huyo dada nimpe email na namba ya cm hadi leo hajajibu,km mkishafanikiwa pia mnaweza kusema nimeshapata mtu cyo kukaa kmya.
 
Neno kuwadi sijalitumia siku nyingi sana......
kwani steve nyerere sio mshkaji wako? ndio haswaaaaaa jina lake, ndiye aliyemuuza mboni masimba kwa chif kiumbe! lol, yaani ni bonge la kuwadi sijapata kuona!
 
kwani steve nyerere sio mshkaji wako? ndio haswaaaaaa jina lake, ndiye aliyemuuza mboni masimba kwa chif kiumbe! lol, yaani ni bonge la kuwadi sijapata kuona!

Mie nimekumbuka tu hili neno la kiswahili....sijamtaja mtu hapa.....
 
yawezekana ni wewe halafu unadai ni kaka yako, kwanini usiwe muwazi tu..... kuna ule msemo wa kiswahili
mficha maradhi....

Unataka mpaka wakunje sura ndo ujue wapo serious!....kama kakio hakuandikiwa email ujue hajachaguliwa tu so asikate tamaa
 
Kama kuna ambao hawako serious na posts zao za kutafuta wachumba basi ni wachache sana.. Sasa kama huyo kaka yako anahitaji Mchumba na yuko serious, kwa nini usimshauri akajiunga JF ili waweze ku comm yeye na huyo dada aliyetoa tangazo...
 
Mwambie maombi yake hayaja kubaliwa! Mwambie asilie sana watamuonea huruma.
 
usipojibiwa maana application not successfullly! umepitwa vigezo na wengine walio apply
 
Humu jf nimegundua kitu kua wengi wanaoandika kua wanatafuta wachumba mume/mke huwa wanaandika tu kujifurahisha coz nna kaka yangu serious anataka kuoa huwa anaingia jf hila hawezi ku post yy hajajiunga akasoma post kuna mdada anatafuta mume vigezo alivyotaja anavyo vyote akaniomba ni pm huyo dada nimpe email na namba ya cm hadi leo hajajibu,km mkishafanikiwa pia mnaweza kusema nimeshapata mtu cyo kukaa kmya.

Usipoteze muda wako ukadhani utapata mke humu,hakuna anaemaanisha chochote humu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom