Wanawake wanaopora madaraka ya waume zao tuwafanyaje???

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,138
hivi sitaki kuwa msemajinaomba tuwasaidie wanaume wengi hapa jamvini wanaendeshwa kama moto na wake zao hii ni pamoja na madaraka ya wanaume kujimilikisha wanawake .aiajalishi una kipato kuliko mwanaume soma quran na baibo vyotee mwanaume ndie kichwa na sasa kama ulikuwa ujui hili acha kabisa mwachie mwanaume awe kichwa na wewe uwe msaidizi.ukiwa kama mdau wa ndoa ama unaekaribia kuoa unamdaidiaje dume hili hata kama atojitaja hapa jamvini
nakaribisha maoni
Masharti na maoni kuzingatiwa....
 
Pdidy mie nakubaliana kabisa nawewe kabisa mwanaume ni kichwa cha nyumba na sie ni wasaidizi, Lakini siku hizi mambo yamebadilika mwanaume unatakiwa uwe na msaidizi mmoja tu lakini nyie wenzetu badala ya kuwa na mmojaa unakuwa nao wengi. Sasa yule ambaye ni msaidiizi halali akishaona mabadiliko naye anatafuta mbinu mbadala ya kupora madaraka yako. Hii haijalishi atatumia mbinu gani sijui. Kingine nadhani hata mifumo ya inachangia.
 
Hivi wee Pdidy hapo airport kuna njaa gani? uwanja unanuaka kama upo chooni hebu safisheni huo uwanja
 
Ni hali ambayo iwapo mwanaume ataindekeza tangu awali, hujijenga na hatimaye mwanamke ku-take over completely. Ukiyumba kwenye msimamo ktk hatua za awali mambo huenda kombo kwa wakati wote utakaosalia!
 
Pdidy mie nakubaliana kabisa nawewe kabisa mwanaume ni kichwa cha nyumba na sie ni wasaidizi, Lakini siku hizi mambo yamebadilika mwanaume unatakiwa uwe na msaidizi mmoja tu lakini nyie wenzetu badala ya kuwa na mmojaa unakuwa nao wengi. Sasa yule ambaye ni msaidiizi halali akishaona mabadiliko naye anatafuta mbinu mbadala ya kupora madaraka yako. Hii haijalishi atatumia mbinu gani sijui. Kingine nadhani hata mifumo ya inachangia.

Nakubaliana na wewe, ila...
"An eye for an eye will make the whole world go blind." - Mhenga, Mahatma Gandhi.
Don't u think?!??
 
Hii hoja ya msingi,ngoja nisubiri kidogo walio kwenye mahusiano ya kudumu(walioa na kuolewa) waje walidadavue,halafu nami ntajitosa maake siku hizi wanawake mmmmmmh!
 
hivi sitaki kuwa msemajinaomba tuwasaidie wanaume wengi hapa jamvini wanaendeshwa kama moto na wake zao hii ni pamoja na madaraka ya wanaume kujimilikisha wanawake .aiajalishi una kipato kuliko mwanaume soma quran na baibo vyotee mwanaume ndie kichwa na sasa kama ulikuwa ujui hili acha kabisa mwachie mwanaume awe kichwa na wewe uwe msaidizi.ukiwa kama mdau wa ndoa ama unaekaribia kuoa unamdaidiaje dume hili hata kama atojitaja hapa jamvini
nakaribisha maoni
Masharti na maoni kuzingatiwa....

Jambo moja la kuelewa ni kuwa wanawake hawapori madaraka bali wanakabidhiwa na wahusika ambao kwa namna moja ama nyingine huwa wameshindwa kuyatumia ipasavyo kwa manufaa ya familia.
 
Wanaume wa leo asilimia kubwa wamekataa majukumu. Wanawake wameshika usukani. Kwishney!
 
Pdidy mie nakubaliana kabisa nawewe kabisa mwanaume ni kichwa cha nyumba na sie ni wasaidizi, Lakini siku hizi mambo yamebadilika mwanaume unatakiwa uwe na msaidizi mmoja tu lakini nyie wenzetu badala ya kuwa na mmojaa unakuwa nao wengi. Sasa yule ambaye ni msaidiizi halali akishaona mabadiliko naye anatafuta mbinu mbadala ya kupora madaraka yako. Hii haijalishi atatumia mbinu gani sijui. Kingine nadhani hata mifumo ya inachangia.

aaaahaaaa nimekupata yaaani mnatumia uditectaship
 
Hivi wee Pdidy hapo airport kuna njaa gani? uwanja unanuaka kama upo chooni hebu safisheni huo uwanja

usiogope hata lazaro alinuka baada ya muda akafufuka na kuanza kula kuku muda ukifika harufu itaisha nao watafufuliwa mkuu
nted
 
Mi nadhani hii kitu imekuja baada ya Wanaume kuacha kuwatandika mangumi wake zao au wapenzi wao ndio maana wa kina dada na wanawake wanakuwa wanawapanda vichwani wanaume.
 
Utuombe radhi tafadhali

uombwe msamaha wa nin?
ata toilet pepa ulet nyumban wewe kula kulala wat do xpect?

play your role ..heshima na adabu utapewa...UKICHWA WA NYUMBA UNALETWA NA MAJUKUMU UNAYOPAFOMU....

baba utambulika kwa majukumu yake
kinyume cha apo tegemea WORSE
 
Haa, mijanadume mingine bwana ikiona mwanammke anasikilizana na mumewe basi wanaona mwanamme kisha tawaliwa! mnanini nyie?

Na ukiona mwanamme hajatulia kwa mkewe ujuwe huyo mwanamke hajafundwa akafundika. Aliefundika, kumtia mwanamme kwapani ni kitu kidogo tu, ni kujuwa tu wapi pa kumkuna. Mnanshangaza.
 
Yapo mambo mengi yanayosababisha mambo haya,mojawapo ni matatizo ya utegemezi wa hisia na kutokujiamini kwa wanaume!
 
Tugawieni madaraka ili tusichukue wenyewe...

Na kwa miaka hii madaraka
Ni kuchangiana na si kitu cha mtu mmoja
 
Mi nadhani ni yule anae weza kubeba mzigo wa madaraka ndie anafaa. Utakaa tu kumtii mume wakati anaonekana kabisa hawezi kuipeleka familia kwenye mstari? Ukiona mke anavaa madaraka maana yake karuhusiwa na mume wake, kama vile mke anavo weza kumruhusu mume wake kua kiongozi wa familia. full stop.
 
Back
Top Bottom