Wanawake wanaohitaji-mimba

OME123

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,498
605
Kwa mwanamke anahitaji mimba anitafute kwani najiamnini sana kwa kumpatia mwanamke mimba kwa haraka zaidi,kwani nguvu zangu za kiume nazi amni sana.serious its note a joke
 
Nguvu zakiume has nothing to do with uwezo wa kuzalisha! unahitaji darasa kubwa!
 
Kwa mwanamke anahitaji mimba anitafute kwani najiamnini sana kwa kumpatia mwanamke mimba kwa haraka zaidi,kwani nguvu zangu za kiume nazi amni sana.serious its note a joke

Acha uzinzi......

Soma andiko hili hapa:-

01 Wakorintho 06:09-10, inasema...

"9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi. "
 
Back
Top Bottom