Sasa kama wewe upo serious all the time tabasamu ni kwa msimu wa sikukuu nani atakuzoea? Au kama huna muda wa kujichanganya na watu na kutaniana wewe mda wote unaongelea academic isues ukijitahidi sana unaongelea uchumi wa marekani what do you expect??
Tatzo umezubaa mno.unatakiwa ukiwa na totoz jifanye una maneno mengi sana,wapigie story za uongo uongo na zenye vichekesho uone kama wataendelea kukuogopa!
Kweli JF ni zaidi ya social netiweki
Source;
Mwakalinga
Mkuu I share your sentiments.........Yaani nimekupata vilivyo. Mimi mwenyewe huwa naambiwa hivyo.
Ilo neno. Izi totozz uwa zinapenda uongo mtupu kwa mfano; sema chupi yako ina mnato, una sura kama sungura, mwambie ushamwagizia gari, nyumba ipo kwenye finishing etc. Mwisho atacheka na kukwachi MASHINE uchape mwanzo mwisho.
Lastly; totozzi uwa zinapenda uwadanganye ndiyo utawapata.
Mind u; ukisema ukweli upati ata mmoja.
tathmini tabia yako........................