Wanawake wanafiki sana

Yaani nyie mnafaa kuwa marais wa tz! Habari ya msiba mmeigeuza sexology class! Mnawaza naniliu tu! Mweh!
NN, hapo ndo hamtuwezi! We can fake it but u can't!
 
Yaani nyie mnafaa kuwa marais wa tz! Habari ya msiba mmeigeuza sexology class! Mnawaza naniliu tu! Mweh!
NN, hapo ndo hamtuwezi! We can fake it but u can't!

In all sincerity, who are you fooling when you fake it? I think you are just fooling yourself, don't you think?
 
Kuna Uzi mwingine mtu kaja na uhanithi wa kike, no comment there coz sijui; labda huyo unayesema 'hafundishiki' ndio yuko kwenye kundi hilo.

Mimi naamini kama kuna mapenzi ya dhati, na kuaandaana vya kutosha na kuhusisha feelings while doing it mwanamke uwezekano wa kucome ni mkubwa! Inaweza isiwe siku zote, lkn hizo siku chache hakutakuwa na haja ya kufake! A man should not feel too bad kama mara chache chache asipomfikisha mpenziwe!

Uko safi ,inajua ya msingi.
Ila kwa kuongezea couple need kufunguka kuambiana what make them feel mwaaah hasa kwa ladies .ndicho lichokuwa nikimaaninisha niliposema kufundishana/kuambia .Of course intercourse kuingiliana ni hatua ya mwisho ya mapenzi I can say 50% ,other part of making love ndio hizo ,kuandaana (foreplay) ,na feeling ya mweza kabla ya yote.
Ni kweli hata kwa good match si mara zote lady will come as for guys ejaculation intensity is not always the same
 
Njiani wanamsengenya marehemu, wakifika wanajigalagaza. Sikilizia ubwabwa upitishwe sasa! Hata mie nakuunga mkono, mambo ya kulia hadi kutapika damu inahuu?

hapana jaman,kuna wakat wanawake tunapofiwa huwa tunajaribu kuwa sawa kwa kuruhusu mazingira ya story kuona kawaida kwa kilichotokea,ila tunapokutana na mazingira ya msiba yanayoashiria mpendwa wetu kuwa kafarik kwl,huisi uchungu mkubwa ambao ulijificha awali.
 
In all sincerity, who are you fooling when you fake it? I think you are just fooling yourself, don't you think?

Honestly who get fooled here, mimi ambaye najua sijacome and it is okay by me, or wewe ambaye unajua nimecome na ninakusifia kwa maufundi ya leo huku niking'ong'a? (kwenye bold just kidding)
 
TUMEANDAMANA NA KINA MAMA KWENDA MSIBANI........ HAPO NJIANI TUNA CHEKA NA KUTIA STORI KAMA HAKUNA MSIBA...... ILE KUFIKA MSIBANI SASA....... HEKA HEKA KWA VILIO WANAJIGALAGAZA NA KUJITUPA CHINI......HEE! NIKAPIGWA NA BUMBUWAZI:yell:
ndio ma-style yao ya kuingilia kwenye msiba..kule njiani kila mmoja alikuwa anawaza aingie vp!
 
TUMEANDAMANA NA KINA MAMA KWENDA MSIBANI........ HAPO NJIANI TUNA CHEKA NA KUTIA STORI KAMA HAKUNA MSIBA...... ILE KUFIKA MSIBANI SASA....... HEKA HEKA KWA VILIO WANAJIGALAGAZA NA KUJITUPA CHINI......HEE! NIKAPIGWA NA BUMBUWAZI:yell:
Wengi wapo hivyo, angalia wale waliozimia wengi walijiandaa na nguo zitakazowasitiri wakijiangusha chini. What a shame!!!
 
Back
Top Bottom